Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LEO NI SIKUKUU YA MIAKA 53 YA UHURU

 Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akiinua juu bango linalonadi UHURU KAMILI miaka 53 iliyopita. Leo ni sikukuu ya kukumbuka siku hii adhimuBaba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akiwasili uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam kujiunga na wananchi kusherehekea sikukuu ya Uhuru miaka 53 iliyopita.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

KOMBE AMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI KWA KUWAPATIA JAMBO LEO FAGIO ZA USAFI SIKUKUU YA UHURU

 Waandishi wa habari wa gazeti la Jambo Leo, wakifurahia kupata fagio walizokabidhiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Zahanati ya Mji Mwema Kigamboni, Dar es Salaam, Omary Kombe (kulia), katika hafla iliyofanyika katika chumba cha habari cha gazeti hilo, Dar es Salaam. Kombe ametoa msaada huo kuunga mkono maelekezo ya Rais Dk. John Magufuli ya kufuta sherehe za Sikukuu ya Uhuru ili wananchi washiriki siku hiyo kufanya usafi wa mazingira kwa lengo la kutokomeza ugonjwa wa kipindupindu nchini. (PICHA...

 

10 years ago

Vijimambo

11 years ago

Mwananchi

JK kuongoza maadhimisho ya miaka 52 ya Uhuru leo

‘Happy birthday Tanganyika’. Miaka 52 imetimia tangu Tanganyika (sasa Tanzania), kupata uhuru wake kutoka kwa wakoloni wa Kiingereza, Desemba 9, mwaka 1961.

 

10 years ago

Michuzi

Maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara yafana jijini Dar leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mikono wananchi waliofurika katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam katika Maadhimisho ya sherehe za miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara akiwa katika Gari maalum liliozunguuka katika uwanja huo leo.Kushoto ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama,Jenerali Davis Mwamunyange.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikagua Gwaride la Vikosi vya Ulinzi na Usalama lilioandaliwa katika...

 

10 years ago

Vijimambo

SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 51 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR, UWANJA WA UHURU DAR LEO

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akipunga mkono kuwasalimia wananchi wakati alipokuwa akiwasili kwenye Uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es salaam, leo kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kushoto ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Davis MwamunyangeMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa na baadhi ya Viongozi wenzake wa Serikali, wakisimama kutoa...

 

11 years ago

GPL

RAIS JK AWASILI UWANJA WA UHURU KUONGOZA MAADHIMISHO YA MIAKA 52 YA UHURU WA TANGANYIKA

Rais Jakaya Kikwete akiwasili katika Uwanja wa Uhuru kwa maadhimisho ya miaka 52 ya uhuru wa Tanganyika hivi punde. Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa sasa amewasili katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam kuongoza maadhimisho ya miaka 52 ya uhuru wa Tanganyika uliopatikana Desemba 9, 1961.

 

10 years ago

GPL

TUNAWATAKIA SIKUKUU NJEMA YA UHURU

Rais Dk. Jakaya Kikwete. Mkurugenzi Mtendaji na wafanyakazi wote wa Kampuni ya Global Publishers & General Enterprises Ltd wanawatakia Watanzania wote heri ya sikukuu ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara. Msisitizo wetu ni kwamba tudumishe amani na mshikamano chini ya kiongozi wetu, Rais Jakaya Mrisho Kikwete. Mungu ibariki Tanzania.

 

5 years ago

Michuzi

FIHIR NVUBGI; HUYU NDIYE DIWANI ALIYEANZA KUONGOZA KATA YA MSANGENI MIAKA MITATU BAADA YA NCHI TANZANIA KUPATA UHURU HADI LEO

*Hajawahi kung'atuka wala kuondolewa, afikiria kugombea tena mwaka huu, azungumzia thamani ya Mzee Msuya wilayani Mwanga

Charles James, Michuzi TV

JINA lake ni Fihir Mvungi, umri wake ni miaka 80. Ameongoza kwa miaka 55 kama Diwani wa Kata ya Msangeni iliyopo wilayani Mwanga, Kilimanjaro.

Ndio. Unaweza kusema Mvungi ndiye kiongozi wa kuchaguliwa ambaye amehudumu kwenye nafasi yake kwa muda mrefu bila kung'atuka wala kuondolewa na wananchi.

Katika mahojiano maalum ambayo amefanya na Michuzi...

 

9 years ago

Dewji Blog

Watanzania waadhimisha sikukuu ya UHURU wakiwa na zana za usafi mikononi

Untitled 1

Leo ni siku muhimu ya 9, Desemba, Tanzania ikisheherekea mwaka wa 54 wa uhuru wa Tanganyika tangu upatikane kutoka kwa Muingereza mwaka 1961.

Kama ilivyo kawaida miaka 53 iliyopita tulikuwa tukisherekea siku kuu hii kwa maadhimisho ya namna tofauti , ikiwa ni pamoja na sherehe zinazoandaliwa na serikali ya muungano, lakini kwa mwaka huu ndani ya uongozi mpya wa awamu ya tano shughuli hii imekuwa ya tofauti na ya kipekee katika kutilia mkazo suala la usafi nchi nzima.

Watanzania wengi kutoka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani