Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TUNAWATAKIA SIKUKUU NJEMA YA UHURU

Rais Dk. Jakaya Kikwete. Mkurugenzi Mtendaji na wafanyakazi wote wa Kampuni ya Global Publishers & General Enterprises Ltd wanawatakia Watanzania wote heri ya sikukuu ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara. Msisitizo wetu ni kwamba tudumishe amani na mshikamano chini ya kiongozi wetu, Rais Jakaya Mrisho Kikwete. Mungu ibariki Tanzania.

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

11 years ago

Mwananchi

Tunawatakia Pasaka njema Watanzania

Wakristo nchini, leo wanaungana na wenzao duniani kusherehekea Sikukuu ya Pasaka ya kukumbuka ufufuko wa Yesu Kristo zaidi ya miaka 2,000 iliyopita.

 

9 years ago

GPL

SIKUKUU NJEMA

MKURUGENZI Mtendaji wa Global Publishers Ltd, menejimenti na wafanyakazi wote, wanawatakia  kila la heri Waislam na Watanzania wote katika kuadhimisha Sikukuu IDD EL HAJJI  katika kuimarisha imani yao kwa Mwenyezi Mungu na kuongeza upendo baina yao na binadamu wengine duniani.

 

10 years ago

Michuzi

LEO NI SIKUKUU YA MIAKA 53 YA UHURU

 Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akiinua juu bango linalonadi UHURU KAMILI miaka 53 iliyopita. Leo ni sikukuu ya kukumbuka siku hii adhimuBaba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akiwasili uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam kujiunga na wananchi kusherehekea sikukuu ya Uhuru miaka 53 iliyopita.

 

9 years ago

Dewji Blog

Watanzania waadhimisha sikukuu ya UHURU wakiwa na zana za usafi mikononi

Untitled 1

Leo ni siku muhimu ya 9, Desemba, Tanzania ikisheherekea mwaka wa 54 wa uhuru wa Tanganyika tangu upatikane kutoka kwa Muingereza mwaka 1961.

Kama ilivyo kawaida miaka 53 iliyopita tulikuwa tukisherekea siku kuu hii kwa maadhimisho ya namna tofauti , ikiwa ni pamoja na sherehe zinazoandaliwa na serikali ya muungano, lakini kwa mwaka huu ndani ya uongozi mpya wa awamu ya tano shughuli hii imekuwa ya tofauti na ya kipekee katika kutilia mkazo suala la usafi nchi nzima.

Watanzania wengi kutoka...

 

10 years ago

Dewji Blog

Modewji blog inakutakia furaha njema ya siku ya Ijumaa kuu leo na Pasaka njema

165548_472294617863_703227863_5902108_5247941_n

Zainul A. Mzige, Operation Manager, MODEWJI BLOG, www.modewjiblog.com +255714940992. IMG_20150320_171213 Andrew Chale, Online Editor, Chief Reporter, MO BLOG, www.modewjiblog.com +255719076376

Msomaji wa Modewji blog leo ni siku ya Ijumaa kuu  mtandao huu unaungana  na wakristo wote Duniani katika kuadhimisha siku hii pamoja na sikukuu ya Pasaka.

Mtandao huu unawatakia Sikukuu njema, sherehe njema na tuiadhimishe kwa amani.

Modewji blog pia inapenda kuwakumbusha wazazi kuwa waangalifu na watoto wadogo...

 

9 years ago

Michuzi

KOMBE AMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI KWA KUWAPATIA JAMBO LEO FAGIO ZA USAFI SIKUKUU YA UHURU

 Waandishi wa habari wa gazeti la Jambo Leo, wakifurahia kupata fagio walizokabidhiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Zahanati ya Mji Mwema Kigamboni, Dar es Salaam, Omary Kombe (kulia), katika hafla iliyofanyika katika chumba cha habari cha gazeti hilo, Dar es Salaam. Kombe ametoa msaada huo kuunga mkono maelekezo ya Rais Dk. John Magufuli ya kufuta sherehe za Sikukuu ya Uhuru ili wananchi washiriki siku hiyo kufanya usafi wa mazingira kwa lengo la kutokomeza ugonjwa wa kipindupindu nchini. (PICHA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani