SIKUKUU NJEMA
![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/eid.jpg)
MKURUGENZI Mtendaji wa Global Publishers Ltd, menejimenti na wafanyakazi wote, wanawatakia kila la heri Waislam na Watanzania wote katika kuadhimisha Sikukuu IDD EL HAJJI katika kuimarisha imani yao kwa Mwenyezi Mungu na kuongeza upendo baina yao na binadamu wengine duniani.
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLTUNAWATAKIA SIKUKUU NJEMA YA UHURU
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-iXxKcA36kog/XspOkxKKKHI/AAAAAAACLbE/tBUb_TK07oEw4nXXN_sQR9HGC6Awhkn6ACLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200524-WA0012.jpg)
10 years ago
Dewji Blog03 Apr
Modewji blog inakutakia furaha njema ya siku ya Ijumaa kuu leo na Pasaka njema
![IMG_20150320_171213](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/04/IMG_20150320_171213-e1428037954863.jpg)
Msomaji wa Modewji blog leo ni siku ya Ijumaa kuu mtandao huu unaungana na wakristo wote Duniani katika kuadhimisha siku hii pamoja na sikukuu ya Pasaka.
Mtandao huu unawatakia Sikukuu njema, sherehe njema na tuiadhimishe kwa amani.
Modewji blog pia inapenda kuwakumbusha wazazi kuwa waangalifu na watoto wadogo...
11 years ago
Tanzania Daima06 Mar
Kwaresma njema
WAKRISTO wote ulimwenguni jana walianza mfungo wa siku 40 wa Kwaresma, ambao huwapa waumini muda wa kufanya tafakuri na kutubu dhambi zao. Tunaandika tahariri hii si kwa nia ya kuhubiri,...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8pnqwPqNt2PuS3Ib8L8ZXBsnSXGuooCpuHL3dDxVHGrjLPy79Z7JbtIChqihilIm-VllvxRU7U1eouvq1q1h*HpoRxSbU7jC/eastersundaygreetings_1396652099.jpg?width=750)
10 years ago
Tanzania Daima05 Oct
Idd El Hajj njema
WAISLAMU nchini leo wanasherehekea Sikukuu ya Idd el- Hajj ambayo wahujaji walikuwa katika mji wa Makka wakihiji Kuhiji ni nguzo ya tano katika Uislamu, lakini nguzo hii hutekelezwa na watu...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/A-kNk9n6amY/default.jpg)
10 years ago
Tanzania Daima13 Nov
Habari njema kwa wastaafu
SERIKALI imeongeza kima cha chini cha malipo ya pensheni kwa wastaafu kuanzia mwaka wa fedha ujao. Kwa sasa wastaafu wanalipwa pensheni ya sh 50,000 kwa mwezi, ambazo hulipwa kila baada...
11 years ago
Tanzania Daima27 Jul
Tunatawakia Idd el Fitri njema
WAISLAMU nchini kesho au keshokutwa watasherehekea Sikuuu ya Idd el- Fitri ambayo husherehekewa mara baada ya kumalizika kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani. Sisi Tanzania Daima Jumapili, tunapenda kuchukua fursa hii...