Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LEVINA TAWETA : Hakuna kazi ya wanaume pekee

 Nikiwa katika mikoa ya Iringa, Mwanza na Mara katika ziara ndani ya hifadhi za Ruaha, Serengeti, Saanane kivutio kikubwa kilikuwa ni mpiga picha mwanamke pekee kwenye matukio hayo kutoka Kilimanjaro Inc Ltd ya Arusha, jinsi alivyokuwa akichukua matukio mbalimbali kwa mitindo iliyokuwa inavutia kila mtu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Watakiwa kutoachia wanaume pekee nafasi ya uenyekiti

Makamu Mwenyekiti wa Wabunge Wanawake, Susan LyimoWANAWAKE wameshauriwa kujitokeza kuwania nafasi ya uenyekiti wa Bunge Maalumu badala ya kuachia fursa hiyo wanaume pekee.

 

9 years ago

Mwananchi

MWAJUMA : Hakuna kazi mbaya duniani

Nikiwa kwenye tamasha la kupinga mimba za utotoni, lililofanyika katika ukumbi mmoja wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu cha Dar es Salaam (Duce, nashuhudia msichana mmoja akicheza kwa umahiri wa hali ya juu.

 

10 years ago

Mtanzania

Wastara: Hakuna kazi rahisi duniani

WastaraNA SHARIFA MMASI, DAR ES SALAAM
MWIGIZAJI I wa filamu nchini, Wastara Juma, amesema wale wote wanaofikiri sanaa ya kuigiza ni kazi rahisi, wamekuwa wakijidanganya.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Wastara alisema katika dunia hakuna kazi nyepesi kwa sababu kila utakachokifanya kitahitaji matumizi ya akili na kufikiri.
“Kwa haraka haraka unaweza kusema kazi ya kuigiza ni nyepesi, lakini si kweli, lazima kila mmoja afahamu duniani kila kazi ina ugumu wake,” alisema Wastara.
Wastara alisema ugumu...

 

10 years ago

Bongo Movies

Wastara:Hakuna Kazi Rahisi Duniani

MWIGIZAJI I wa filamu nchini, Wastara Juma, amesema wale wote wanaofikiri sanaa ya kuigiza ni kazi rahisi, wamekuwa wakijidanganya.

Akizungumzia kuhusu ugumu wa kazi yake ya kuigiza, Wastara alisema katika dunia hakuna kazi nyepesi kwa sababu kila utakachokifanya kitahitaji matumizi ya akili na kufikiri.

“Kwa haraka haraka unaweza kusema kazi ya kuigiza ni nyepesi, lakini si kweli, lazima kila mmoja afahamu duniani kila kazi ina ugumu wake,” alisema Wastara.

Wastara alisema ugumu ambao...

 

10 years ago

Vijimambo

HAKUNA SHULE, KAZI WALA NDEGE KURUKA NEW YORK ZAIDI YA NDEGE 6,000 CANCELS HADI JUMATANO

Hapa ni Times Square New York kimya kabisa wakati siyo kawaida yake tishio la barafu
inayoendelea kushuka kama imeagizwa vile yasababisha shule kufungwa hadi jumatano kazi na usafiri wa chini na anga stop kwa siku mbili.
New York ni nyumbani kwa vikwangua anga lakini kama unavyoona ni ukungu mzito na barafu ikinyesha. Dada akiwahi nyumbani kabla akujawa kubaya zaidi watu wameambiwa kukaa ndani na kuchoma mahindi nje ni shida
Hapa ni Penn station Kituo kikubwa cha train za kuelekea nje ya New...

 

10 years ago

Vijimambo

Story ya wanawake wa Rombo kukodi wanaume Kenya kuwaridhisha kimapenzi yatinga bungeni, wanaume wataka waombwe radhi


Habari iliyoandikwa kwenye gazeti la Mwananchi juzi yenye kichwa cha habari ‘Wanawake wa Rombo wakodi wanaume kutoka Kenya’ imeibukia bungeni leo.Habari hiyo iliandikwa kutokana na kauli aliyoitoa mkuu wa wilaya ya Rombo, Lembris Kipuyo, aliyedai kuwa kutokana na wanaume wa wilaya hiyo kuwa walevi wa kutupa, wake zao wamekuwa wakikodi wanaume kutoka Kenya ili kuwaridhisha kimapenzi.
“Tatizo la ulevi wilayani Rombo na matumizi ya pombe zisizokuwa na viwango ni kubwa sana na linahitaji nguvu...

 

10 years ago

Mwananchi

Chadema: Hakuna kulala, hakuna kula

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jana kilizindua mkakati wake wa ushindi “Hakuna kulala, hakuna kula mpaka kieleweke” katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba kwa kufungua mafunzo yatakayoendeshwa nchi nzima kwa viongozi wa vyama na Serikali za Mitaa.

 

10 years ago

Mwananchi

Viongozi kujiuzulu pekee haitoshi

Jana Profesa Sosperter Muhongo alitangaza kujiuzulu nafasi yake ya Waziri wa Nishati na Madini, akieleza kuwa anataka nchi isonge mbele kwa kuwa suala la kumtaka Rais amwondoe kutokana na kashfa ya uchotwaji fedha kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow, limesababisha mambo mengi kukwama.

 

10 years ago

Mwananchi

JK mweledi pekee mchakato wa Katiba

Mchakato wa kuandika Katiba Mpya umeingia katika hatua muhimu baada ya marais Jakaya Kikwete na Dk Ali Mohamed Shein kukabidhiwa rasmi Katiba inayopendekezwa. 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani