LHRC WACHANGIA VIFAA KINGA, MAPAMBANO DHIDI YA CORONA
Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC, Anna Henga (katikati) akiwa na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Dkt. Rashid Mfaume wakati wa makabidhiano ya vifaa kinga.
Katika kukabiliana na mlipuko wa virusi vya corona, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeendelea kuchukua hatua mbalimbali ikiwemo kuendelea kutoa elimu kwa umma juu ya namna ya kukabiliana na maambukizi.
Maambukizi ya virusi vya corona yanaathiri haki za msingi ikiwemo haki ya kuishi, haki ya kufanya kazi na kupata ujira, haki...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziMAT,SHIRIKA LA UTAFITI HPON WACHANGIA WA VIFAA VYA MILIONI 4.5 KINGA KUKABILIANA NA CORONA SHINYANGA
Chama Cha Madaktari Tanzania (Medical Association of Tanzania – MAT) na Shirika la Utafiti HPON (Heath For A Prosperous Nation) wametoa msaada wa Vifaa Kinga vyenye thamani ya shilingi Milioni 4.5 kwa ajili ya kukabiliana na Maambukizi ya Virusi vya Corona (COVID -19) katika mkoa wa Shinyanga.
Vifaa kinga hivyo ambavyo vitatumika katika vituo vya kutolea huduma za afya mkoani Shinyanga vimekabidhiwa na wadau hao wa sekta ya afya leo Ijumaa Mei 22,2020 kwa Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga...
5 years ago
MichuziWAUMINI WA KOREA KUSINI WACHANGIA KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA VIRUSI VYA CORONA
Kanisa moja kutoka korea kusini linaloitwa Shincheonji church of Jesus lilisema Zaidi ya waumini wake 4,000 wameweza kupona corona(covid19) na wako tayari kujitolea utegili kwa ajili ya uvumbuzi wa matibabu mapya.
Kiasi cha damu kitachotolewa na waumini hao 4,000 kitakuwa na thamani ya shilingi trilioni 192 na...
5 years ago
MichuziMHOLA WAKABIDHI MSAADA WA VIFAA KINGA DHIDI YA CORONA
Na Abdullatif Yunus Michuzi TV.
Shirika la lisilokuwa la Kiserikali linalojihusisha na utoaji wa msaada wa kisheria pamoja na malezi na makuzi ya watoto Wilayani Muleba limetoa vifaa vya kujikinga na ugonjwa wa Corona kwa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba, ikiwa ni harakati na muendelezo wa mapambano dhidi ya Corona.
Akikabidhi vifaa hivyo kwa Mkuu wa Wilaya ya Muleba pamoja na viongozi wengine wa Wilaya hiyo Mkurugenzi wa Shirika hilo Bwana Saulo Marauli amesema kuwa vifaa hivyo ni pamoja na...
5 years ago
MichuziJESHI LA POLISI LAPOKEA VIFAA KINGA DHIDI YA CORONA.
Kamishna wa Polisi, Kamisheni ya Uchunguzi wa Kisayansi CP Shaban Hiki akipokea vifaa kinga dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona kutoka kwa Balozi wa kampeni ya Mikoni safi, Tanzania salama, Msanii Mrisho Mpoto (Mjomba), tukio lililofanyika katika makao makuu Jeshi la Polisi Ofisi ndogo Jijini Dar es Salaam.
Timu ya uhamasishaji kutoka Wizara ya Afya na Wadau kutoka Shirika lisilo Lakiserikali la Project CLEAR wakimsikiliza Kamishna wa Polisi, Kamisheni ya Uchunguzi wa Kisayansi CP...
5 years ago
CCM BlogTAASISI YA ANDALUSIA NA HANDS HAPPY ZAKABIDHI MSAADA WA VIFAA VYA KINGA DHIDI YA CORONA KWA WILAYA YA ILALA
Kiongozi wa Taasisi ya Mafunzo ya Andalusia pamoja na Happy Hands, Zainab Bunamy (kushoto) akikabidhi msaada wa vifaa mbalimbali vya kinga dhidi ya Corona kwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema wenye thamani ya sh. mil. 7, vikiwemo vifaa vya mavazi ya kujikinga wakati wa kuwahudumia wagonjwa wa ugonjwa huo.
Kiongozi wa Taasisi ya Mafunzo ya Andalusia pamoja na Happy Hands, Zainab Bunamy (kushoto) akikabidhi msaada wa vifaa vya kinga dhidi ya Corona kwa...
5 years ago
MichuziSERIKALI YASHUKURU WADAU KWA KUCHANGIA MAPAMBANO DHIDI YA CORONA ‘YASISITIZA UBORA NA USALAMA WA VIFAA VINAVYOTOLEWA
Waziri Ummy Mwalimu akipokea mfano wa hundi wenye thamani ya shilingi bilioni 1.1 kwa ajili ya ununuzi wa vifaa tiba na vifaa kinga kutoka Anglogold Ashanti pamoja na Geita Gold Mining Limited(GGML)Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akipokea mataki ya maji kutoka kwa Wamiliki wa Malori nchini ambayo yatapelekwa kwenye mipaka yote nchini.Kulia ni Mwenyekiti wa TPSF Bi.Angelina Ngalula
Baadhi ya watumishi wa Shirika la Maendeleo la Petrol Tanzania...
5 years ago
BBCSwahili13 May
Virusi vya corona: Serikali, sayansi na sintofahamu ya mapambano dhidi ya corona Tanzania
5 years ago
BBCSwahili03 May
Virusi vya corona: Imani za kidini zinasaidia au zinadidimiza mapambano dhidi ya corona?
5 years ago
BBCSwahili12 May
Virusi vya corona: Je, dawa za mitishamba zina nafasi katika mapambano dhidi ya corona?