LIBYA MABINGWA CHAN 2014

TIMU ya taifa ya Libya imetwaa ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) 2014 baada ya kuifunga Ghana kwa penalti 4-3 kufuatia sare ya bila kufungana Jumamosi Uwanja wa Cape Town. Ushindi huo ni sawa na Libya kulipa kisasi kwa Ghana baada ya kufungwa kwa penalti 7-6 miaka 32 iliyopita kwenye fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON).
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili02 Feb
Libya washinda CHAN 2014
11 years ago
BBC
Ghana and Libya progress at CHAN
11 years ago
BBC
CHAN: Libya oust Gabon on penalties
11 years ago
BBC
CHAN 2014: Keshi proud of Nigeria
11 years ago
Dewji Blog18 May
Arsenal mabingwa wa FA 2014
Timu ya Arsenal ya England imetwaa kombe la FA baada ya kubamiza Hull City kwa jumla ya magoli 3 – 2 kwenye fainali iliyofanyika katika uwanja wa Wembley siku ya jumamosi.
Wachezaji wa Arsenal wakishangilia ushindi
Katika mechi hiyo ya fainali Hull City ndio waliokuwa wa kwanza kuutikisa wavu wa Arsenal kwa magoli mawili ya haraka haraka yaliyofungwa ndani ya dakika 10 kipindi kwanza.
Goli la kwanza lilifungwa na James Chester dakika ya 3 huku goli la pili la Hull likifungwa katika dakika...
10 years ago
Africanjam.Com
FC BARCELONA MABINGWA WA ULAYA 2014/15



11 years ago
Mwananchi24 Feb
Ligi ya Mabingwa 2013-2014
11 years ago
BBCSwahili12 May
11 years ago
Mwananchi14 Jul
BRAZIL 2014: Ujerumani - Mabingwa wa Dunia!