FC BARCELONA MABINGWA WA ULAYA 2014/15

Barcelona walitawazwa mabingwa wa Ulaya kwa mara ya tano baada ya kuichapa Juventus mabao matatu kwa moja katika mechi kali ya fainali iliochezwa katika uwanja wa Olimpiki wa Berlin.
Onyesho la ufunguzi kabla ya fainali kati ya Barcelona na Juventus kuanzaBarcelona walikuwa wa kwanza kufunga kupitia Ivan Rakitic kunako dakika ya nne ya mwanzo wa kipindi cha kwanza.
Alvaro Morata akishangilia baada ya kusawazisha goli la kwanzaHatahivyo Alvaro Morata alisawazisha .Lakini Luis Suarez alifunga...
africanjam.com
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
BARCELONA WATWAA KOMBE LA LIGI YA MABINGWA ULAYA
10 years ago
GPL
BARCELONA YATINGA FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA
11 years ago
GPL
BARCELONA, PSG ZATINGA ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA
10 years ago
GPL
10 years ago
Vijimambo
FC BARCELONA YATINGA FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA KWA JUMLA YA MABAO 5-3


Wakicheza katika uwanja wao wa nyumbani wa Allianz Arena uliofurika mashabiki wenye pumzi ya kushangilia bila kuchoka, Bayern waliokuwa na kibarua cha kuifunga Barcelona mabao 4-0 ili wasonge mbele hatua ya fainali, walijikuta wakimaliza dakika 90 za mchezo huo wakiwa na ushindi...
10 years ago
GPL
BAYERN MUNICH, BARCELONA ZATINGA NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA
10 years ago
GPL
BAYERN MUNICH KUKWAANA NA BARCELONA KATIKA NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA LEO
10 years ago
Mwananchi07 Jun
Barca mabingwa wa Ulaya
11 years ago
GPL
MAN U, BARCELONA ROBO FAINALI ULAYA