Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAN U, BARCELONA ROBO FAINALI ULAYA

MANCHESTER, England Moyes bana, asema: Man U itakuwa bingwa wa Ulaya
KITENDO cha Robin van Persie, kufunga mabao matatu ‘hat trick’ katika mechi dhidi ya Olympiacos, siyo tu kimempa sifa straika huyo ila kuna mengi nyuma ya pazia ambayo ameweza kuyafunika ndani ya dakika 90 za mechi hiyo ya juzi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Robin van Persie akishangilia moja ya bao lake aliloifungia timu yake katika mechi dhidi ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

BARCELONA, PSG ZATINGA ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA

Lionel Messi akishangilia na wachezaji wenzake wa Barcelona baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya 67. Pablo Zabaleta wa Man City akitolewa kwa kadi nyekundu baada ya kupewa kadi ya pili ya njano.…

 

10 years ago

Mwananchi

Ligi ya Mabingwa Ulaya: Real Madrid yanusa robo fainali

Mechi za kwanza za marudiano katika hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya 2014/15 kuamua timu nane zitakazoingia robo fainali zitachezwa kesho na keshokutwa huku mechi nyingine zikimaliziwa wiki ijayo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Robo Fainali FA ni Arsenal na Man.United

Miamba ya soka katika ligi kuu ya England Arsenal na Manchester United watamenyana katika robo fainali ya FA

 

10 years ago

GPL

BARCELONA YATINGA FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA

Neymar, Luis Suarez na Lionel Messi wakishangilia bao. BARCELONA imefanikiwa kufuzu hatua ya fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya licha ya kufungwa mabao 3-2 na Bayern Munich usiku huu jijini Munich nchini Ujerumani. Thomas Muller akiifungia Bayern bao la tatu usiku huu. Barcelona imefuzu kwa jumla ya mabao 5-3 baada ya kupata ushindi wa 3-0 katika mechi yao ya kwanza ya nusu fainali dhidi ya Bayern huko Hispania.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani