Libya yawaachia wanajeshi wa Marekani
Makao Makuu ya Ulinzi nchini Marekani, Pentagon imesema wanajeshi wake wanne waliokuwa wakishikiliwa waameachiwa Libya.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili17 Mar
Wanajeshi 5 wauawa Benghazi, Libya
Wanajeshi watano wameuawa katika shambulizi la bomu lililokuwa limetegwa ndani ya gari karibu na kambi ya jeshi
10 years ago
BBCSwahili06 Nov
Wanajeshi wa Libya wafukuzwa Uingereza
Wanajeshi zaidi ya 300 wafukuzwa Uingereza kutokana na ubakaji,wengine wamepandishwa kizimbani wakikabiliwa na kesi za ubakaji,
10 years ago
BBCSwahili17 Jul
Wanajeshi wauawa Marekani
Mtu mwenye silaha amewaua askari 4 wa jeshi la wanamaji wa Marekani katika shambulio lililofanywa kwenye majengo ya jeshi hilo.
11 years ago
BBCSwahili28 Mar
Wanajeshi wa Marekani wafutwa kazi
Wajeshi 9 wa kambi ya Kinyuklia watimuliwa kwa kudanganya katika mtihani wao
10 years ago
BBCSwahili20 Jul
Marekani yawaua wanajeshi wa Afghanistan
Askari 8 wa Afghanistan wamekufa katika shambulizi la anga la Marekani kwenye kituo cha kijeshi cha ukaguzi katika jimbo la Logar
10 years ago
BBCSwahili22 Mar
Marekani yawaondoa wanajeshi wake Yemen
Wizara ya mashauri ya kigeni Marekani imethibitisha kuwa wanajeshi wote wa Marekani waliokuwa wamebaki nchini Yemen wamondolewa
9 years ago
BBCSwahili19 Dec
Muungano wa Marekani waua wanajeshi wa Iraq
Shambulio la angani la majeshi ya muungano unaoongozwa na Marekani dhidi ya wapiganaji wa Islamic State (IS) huenda limewaua wanajeshi wa Iraq.
10 years ago
BBCSwahili08 Jul
Marekani kufuta kazi baadhi ya wanajeshi
Vyombo vya habari nchini Marekani vimeripoti kuwa jeshi la marekani limethibitisha kupunguza wanajeshi wake
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
15-February-2025 in Tanzania