Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Marekani yawaondoa wanajeshi wake Yemen

Wizara ya mashauri ya kigeni Marekani imethibitisha kuwa wanajeshi wote wa Marekani waliokuwa wamebaki nchini Yemen wamondolewa

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Saudia yawaondoa raia wake Yemen kusini

Saudi Arabia imedaiwa kuwahamisha raia wake na wanadiplomasia wa kigeni kutoka mji wa bandari ya Aden kusini mwa Yemen .

 

11 years ago

BBCSwahili

Marekani yatuma wanajeshi wake Chad

Wanajeshi 80 wametumwa Chad kusaidia kuwatafuta na kuwaokoa takriban wasichana 200 waliotekwa nyara nchini Nigeria na Boko Haram.

 

10 years ago

BBCSwahili

Waasi wapambana na wanajeshi Yemen

Serikali ya Yemen imeafikia makubaliano na kundi la waasi wa Houthi baada ya masaa kadha ya mapigano makali kwenye ikulu ya rais.

 

10 years ago

BBCSwahili

Marekani na UK zafunga balozi zao Yemen

Marekani na Uingereza zimefunga balozi zao nchini Yemen kutokana na kudorora kwa usalama nchini humo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi wauawa Marekani

Mtu mwenye silaha amewaua askari 4 wa jeshi la wanamaji wa Marekani katika shambulio lililofanywa kwenye majengo ya jeshi hilo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Marekani yawaua wanajeshi wa Afghanistan

Askari 8 wa Afghanistan wamekufa katika shambulizi la anga la Marekani kwenye kituo cha kijeshi cha ukaguzi katika jimbo la Logar

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi wa Marekani wafutwa kazi

Wajeshi 9 wa kambi ya Kinyuklia watimuliwa kwa kudanganya katika mtihani wao

 

11 years ago

BBCSwahili

Libya yawaachia wanajeshi wa Marekani

Makao Makuu ya Ulinzi nchini Marekani, Pentagon imesema wanajeshi wake wanne waliokuwa wakishikiliwa waameachiwa Libya.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mtu mmoja awaua wanajeshi 4 wa Marekani

Mtu mwenye silaha amewaua askari wanne wa jeshi la wanamaji wa Marekani katika shambulio lililofanywa kwenye majengo mawili ya jeshi hilo katika mji wa Chattanooga, Tennessee.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani