Saudia yawaondoa raia wake Yemen kusini
Saudi Arabia imedaiwa kuwahamisha raia wake na wanadiplomasia wa kigeni kutoka mji wa bandari ya Aden kusini mwa Yemen .
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili22 Mar
Marekani yawaondoa wanajeshi wake Yemen
Wizara ya mashauri ya kigeni Marekani imethibitisha kuwa wanajeshi wote wa Marekani waliokuwa wamebaki nchini Yemen wamondolewa
10 years ago
BBCSwahili16 Apr
Malawi kuwaondoa raia wake Afrika Kusini
Malawi imeamua kuwaondoa raia wake kutoka Afrika Kusini kutokana na kukithiri kwa ghasia za kushambuliwa wageni
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HMrNkLH2ZKO1Tf3vOGy9-qtSSOkn4sRB7BYi*DgBL112w-fRFYxGScDsFUQpMgzNCYejbi3a5VStnrbc1BkPBicg*p4WvH9x/jozi2.jpg?width=650)
TANZANIA YANUIA KUWAONDOA RAIA WAKE WALIOKO AFRIKA KUSINI
Taswira za machafuko nchini Afrika Kusini, ambapo wenyeji wanawashambulia raia wa kigeni huku wakitakiwa wageni waondoke nchini humo. Wenyeji wakifanya vurugu na kuchoma moto mataili. Kufuatia kushamili siku hadi siku kwa mashambulizi dhidi ya raia wa kigeni nchini Afrika Kusini, Serikali ya Tanzania imetangaza kuwa, inapanga kuwaondoa raia wake nchini humo. Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini umesema umeanza zoezi la...
10 years ago
BBCSwahili29 Mar
Saudia yawashambulia Wahouthi Yemen
Ndege za jeshi la Saudi Arabia zimeshambulia maeneo kadha nchini Yemen katika kampeni yake dhidi ya waasi wa Houthi
10 years ago
BBCSwahili18 Apr
Saudia kutoa msaada unaohitajika Yemen
Saudi Arabia, imeahidi kutoa fedha ambazo Umoja wa Mataifa umesema zinahitajika nchini Yemen.
10 years ago
BBCSwahili26 Mar
Jeshi la Saudia lashambulia waasi, Yemen
Saud Arabia imeanza operesheni zake za kijeshi nchini Yemen, ikiwa ni kujibu ombi la Rais wa nchi hiyo Abd Rabbuh Mansour Hadi.
10 years ago
BBCSwahili07 May
Yemen:Saudia yapendekeza kusitisha Vita
Saudia inajiandaa kufanya mashauriano ya siku tano ya kuleta amani na kujiondoa kutoka Yemen kwa sababu ya kibinadamu.
10 years ago
Mwananchi15 Apr
Saudia ilivokosea kuzicheza karata zake Yemen
Kuna baadhi ya watu wachache inapotajwa nchi ya Yemen kwa haraka huwakumbuka baadhi ya watu wa nchi hiyo wanaopenda kutafuna kwa saa nyingi majani ya miraa, wenyewe wanayaita Qat.
5 years ago
BBCSwahili28 Feb
Conovirus: Nigeria yathibitisha kuingia kwa corona, Afrika Kusini kuwaondoa raia wake Wuhan
Nigeria imethibitisha kuwepo kwa mtu mmoja mwenye maambukizi ya virusi vya corona.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania