Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Marekani na UK zafunga balozi zao Yemen

Marekani na Uingereza zimefunga balozi zao nchini Yemen kutokana na kudorora kwa usalama nchini humo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe, Liberata Mulamula aanda chakula cha jioni kwa baadhi ya mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao kwa ukanda wa Afrika Mashariki nyumbani kwake Bethesda ,Maryland tarehe 11/02/2015

 
Balozi wa Ethiopia nchini Marekani na mwenyekiti wa mabalozi wa kanda ya Afrika Mashariki Mhe, Girma Birru akisaini kitabu cha wageni nyumbani kwa Balozi, Mhe Liberata Mulamula.


Balozi wa Uganda nchini Marekani Oliver Wonekha ambaye ni mmoja  wa mabalozi kutoka kanda ya Afrika Mashariki akisaini kitabu cha wageni nyumbani kwa Balozi. Mhe  Liberata Mulamula.


 Balozi wa  Burundi nchini Marekani Mhe, Ernest Ndabashinze akisaini kitabu cha wageni nyumbani kwa Balozi Mhe, Liberata Mulamula.


 Balozi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Balozi aifunda Yemen

Balozi wa Yemen nchini Uingereza UK, Abdulla Ali al-Rahdi ameiambia BBC kwamba nchi yake itageuka uwanja wa vita

 

10 years ago

BBCSwahili

Marekani yawaondoa wanajeshi wake Yemen

Wizara ya mashauri ya kigeni Marekani imethibitisha kuwa wanajeshi wote wa Marekani waliokuwa wamebaki nchini Yemen wamondolewa

 

9 years ago

Vijimambo

BALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI AKABIDHI HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS WA MAREKANI BARACK OBAMA.

 Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Wilson Masilingi akiwa na Rais wa Marekani Mhe. Barack Obama mara baada ya kukabidhi hati za utambumbulisho (White House). Washington DC. Mhe. Wilson Masilingi   Pamoja na Familia yake wakiwa Katika nyuso za furaha mara baada ya kukabidhi hati za utambulisho  Ikulu ya Marekani(White House).  Kutoka kushoto ni Mtoto wa Balozi ndugu Nelson Masilingi, Rais wa Marekani Barack Obama, Balozi Wilson Masilingi, pamoja na Marystella Masilingi. Mke wa Balozi.

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi akutana na Balozi wa Heshima wa Tanzania Nchini Marekani Dr. Robert Shumake

Kampuni ya Ms Shimoja  yenye Makao Makuu yake katika Jimbo la Michigan  Nchini Marekani iko mbioni kutaka kuanzisha kituo cha Matangazo ya Televisheni Mjini Dar es salaam Nchini Tanzania kitakachotoa huduma ndani ya Ukanda wa Afrika Mashariki.
Mkurugenzi wa Kampuni hiyo ambae pia ni Balozi wa Heshima wa Tanzania Nchini Marekani Dr. Robert Shumake alieleza hayo wakati akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ofisini kwake katika Jengo la Msekwa ndani ya viunga vya...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI LIBERATA MULAMULA AMKARIBISHA BALOZI MPYA WA ZIMBABWE NCHINI MAREKANI UBALOZINI TANZANIA HOUSE

Mhe. Liberata Mulamula, Balozi wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania nchini Marekani amemkaribisha Mhe. Ammon Mutembwa, Balozi mpya wa Jamhuri ya Zimbabwe Ubalozini Tanzania House, Washington DC, Marekani, Jumatano Novemba 26, 2014. Katika mazungumzo yake na Balozi Mutembwa, Mhe. Balozi Mulamula alimweleza Balozi huyo kwamba ajisikie kwamba yuko nyumbani. Mhe. Mulamula aliendelea kwa kusema kwamba Tanzania na Zimbabwe zina mahusiano ya kihistoria na kwa msingi huo ni vyema kutafsiri kwa vitendo...

 

10 years ago

Vijimambo

MHE. BALOZI LIBERATA MULAMULA AMKARIBISHA BALOZI MPYA WA ZIMBABWE NCHINI MAREKANI UBALOZINI TANZANIA HOUSE


Mhe. Liberata Mulamula, Balozi wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania nchini Marekani amemkaribisha Mhe. Ammon Mutembwa, Balozi mpya wa Jamhuri ya Zimbabwe Ubalozini Tanzania House, Washington DC, Marekani, Jumatano Novemba 26, 2014. Katika mazungumzo yake na Balozi Mutembwa, Mhe. Balozi Mulamula alimweleza Balozi huyo kwamba ajisikie kwamba yuko nyumbani. Mhe. Mulamula aliendelea kwa kusema kwamba Tanzania na Zimbabwe zina mahusiano ya kihistoria na kwa msingi huo ni vyema kutafsiri kwa vitendo...

 

10 years ago

Vijimambo

MHE. BALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI ANAWAKARIBISHA WATANZANIA WOTE WAISHIO MAREKANI KATIKA HAFLA YA KUWAAGA ITAKAYOFANYIKA JUMAMOSI TAREHE 25 JULAI 2015.





 The Ambassador of the United Republic of Tanzania


                                                      to the United States of America
 H.E. Ambassador Liberata Mulamula

 


has the pleasure to cordially invite you
 to a Barbeque Farewell


 Saturday, July 25th 2015
from Three - Seven in the evening (3:00 – 7:00pm)

at 


 Ambassador’s Residence


1 Highboro Court
Bethesda, MD...

 

9 years ago

BBCSwahili

Iran na Uingereza kufungua balozi zao

Uingereza na Iran zinatarajiwa kufungua balozi zao licha ya kuwepo uhusiano mbaya katika ya Iran na nchi za Magharibi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani