Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Libya:wanawake waliobakwa kufidiwa

Wanawake waliobakwa wakati wa harakati za kuuangusha utawala wa aliyekuwa Rais wa Libya Muammar Gaddafi kulipwa fidia

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Kliniki ya wanaume waliobakwa Sweden

Hospitali moja mjini Stockholm nchini Sweden inatarajiwa kufungua kliniki ya kwanza ya wanaume waliobakwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Mama wa watoto waliobakwa na baba yao apata vitisho

>Siku chache baada ya baba aliyedaiwa kubaka watoto wake wawili wakazi wa wa Miembe Saba wilayani Kibaha mkoani Pwani kutiwa mbaroni na polisi, mama wa watoto waliokuwa wakitendewa unyama huo ameanza kupokea vitisho kutoka kwa  baadhi ya ndugu wa mume wake.

 

11 years ago

BBCSwahili

Waathiriwa wa Osama kufidiwa Tanzania

Watanzania walioathirika na mlipuko wa mabomu katika ubalozi wa Marekani mjini Dar es Salaam wameshinda kesi yao na sasa watalipwa fidia.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Silinde ataka wakulima kufidiwa

MBUNGE wa Mbozi Magharibi, David Silinde (Chadema), ameitaka serikali kuwafidia wakulima wa Mbozi ambao mazao yao yaliungua kutokana na kutumia mbolea feki. Akiuliza swali la nyongeza bungeni jana, Silinde alisema...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mwathiriwa wa ubakaji kufidiwa Zimbabwe

Mahakama ya juu zaidi nchini Zimbabwe imeagiza serikali kumlipa fidia mwathiriwa wa ubakaji aliyekataliwa kuavya mimba yake

 

11 years ago

Tanzania Daima

10 kufidiwa mabomu Ubalozi wa Marekani

MIAKA 16 baada ya  kutokea kwa mlipuko wa mabomu katika Ubalozi wa Marekani jijini Dar es Salaam, imefahamika kuwa waathirika  10 ndio watakaolipwa fidia. Fedha zinazotarajiwa kulipwa kwa wathirika hao...

 

10 years ago

Mwananchi

Wananchi wa Temeke sasa kufidiwa mabilioni

Manispaa ya Temeke inatarajia kutumia zaidi ya Sh20 bilioni kwa ajili ya kuwalipa fidia wakazi wa manispaa hiyo eneo la Temeke, ambao nyumba zao ziliwekwa alama ya X kupisha ujenzi wa barabara.

 

5 years ago

Michuzi

DC MBONEKO AONGOZA MAMIA YA WANAWAKE KONGAMANO LA WANAWAKE 'SHINYANGA WOMEN'S DAY OUT'

Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Jasinta Mboneko akizungumza kwenye Kongamano la wanawake "Shinyanga Women's Day Out" lililoandaliwa na kikundi cha wanawake na mabadiliko Women for Change kutoka Shinyanga mjini leo Jumamosi Machi 7,2020. Picha zote na Marco Maduhu - Malunde 1 blog
Waandaaji wa Kongamano la Shinyanga Women's Day Out wakiwa ukumbini.Wanawake wakiwa kwenye Kongamano la Shinyanga Women's Day Out.
Meza Kuu 'VIP' wakiwa kwenye Kongamano la Shinyanga Women's Day Out.Awali Mkuu wa wilaya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani