Silinde ataka wakulima kufidiwa
MBUNGE wa Mbozi Magharibi, David Silinde (Chadema), ameitaka serikali kuwafidia wakulima wa Mbozi ambao mazao yao yaliungua kutokana na kutumia mbolea feki. Akiuliza swali la nyongeza bungeni jana, Silinde alisema...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima17 Dec
DC ataka wakulima wauziwe miche ya kahawa
MKUU wa Wilaya ya Moshi, Dk. Ibrahim Msengi, ameiagiza Halmashauri ya Wilaya ya Moshi kutoza pesa kwa miche bora ya kahawa inayotolewa kwa wakulima wa zao hilo badala ya kugawa...
10 years ago
Habarileo31 May
Wassira ataka wakulima kuchangamkia benki yao
WAZIRI wa Kilimo, Chakula na Ushirika , Stephen Wassira, amewataka wakulima na wadau wa sekta ya kilimo cha mazao ya aina mbalimbali ikiwemo kahawa kuanza kujipanga kutumia Benki ya Kilimo kwa kuingia mikataba ili waweze kupata mikopo kwa ajili ya kupata pembejeo na vifaa vya kilimo.
10 years ago
Dewji Blog06 Nov
Katibu tawala Singida ataka mikakati kuwekwa kuongeza wakulima wanaotumia mbegu bora
Katibu Tawala mkoa wa Singida, Liana Hassan, akizungumza kwenye ufunguzi wa semina juu ya kuongeza upatikanaji wa mbegu bora na mbolea kwa wakulima wadogo wadogo kwa kuimarisha masoko ya pembejeo katika mikoa ya Singida na Dodoma.
Na Nathaniel Limu, Singida
KATIBU tawala mkoa wa Singida, Liana Hassan, amewahimiza wadau mbalimbali wanaojishughulisha na sekta ya kilimo,kuweka mikakati ya kuhakikisha zaidi ya aslimia 85 ya wakulima wawe wanatumia mbegu bora,ili kuleta mapinduzi ya kweli ya...
5 years ago
MichuziRC MALIMA ATAKA WAKULIMA WAUZE KAHAWA YAO KWA BEI NZURI AUNGA MKONO WANUNUZI BINAFSI
10 years ago
Tanzania Daima24 Nov
Wakazi Momba wafurahia ahadi za Silinde
WAKAZI wa Wilaya ya Momba mkoani Mbeya wamempongeza Mbunge wao David Silinde (CHADEMA) kwa kutimiza ahadi ya kuondoa tatizo sugu la maji aliyoitoa mwaka 2010 wakati wa kampeni. Wakizungumza kwa...
11 years ago
BBCSwahili02 Apr
Waathiriwa wa Osama kufidiwa Tanzania
11 years ago
BBCSwahili20 Feb
Libya:wanawake waliobakwa kufidiwa
11 years ago
Tanzania Daima05 Apr
10 kufidiwa mabomu Ubalozi wa Marekani
MIAKA 16 baada ya kutokea kwa mlipuko wa mabomu katika Ubalozi wa Marekani jijini Dar es Salaam, imefahamika kuwa waathirika 10 ndio watakaolipwa fidia. Fedha zinazotarajiwa kulipwa kwa wathirika hao...
11 years ago
BBCSwahili27 Mar
Mwathiriwa wa ubakaji kufidiwa Zimbabwe