Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Licha ya kuhusishwa kuwa hawapatani, Rafael Benitez kamuomba Cristiano Ronaldo afanye hivi …

Barani Ulaya kwa sasa kwa upande wa vilabu ambavyo makocha wake wanatajwa kuwa katika wakati mgumu na wanahusishwa kufukuzwa ni Jose Mourinho wa klabu ya Chelsea, ambaye timu yake imekuwa ikifanya vibaya msimu huu, kwa upande wa Hispania ni Rafael Benitez ambaye yeye pia timu yake haijafanya vibaya sana ila inatajwa kuwa kuna baadhi ya wachezaji […]

The post Licha ya kuhusishwa kuwa hawapatani, Rafael Benitez kamuomba Cristiano Ronaldo afanye hivi … appeared first on...

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Rafael Benitez atangazwa kuwa kocha mpya wa Real Madrid

Baada ya kumtimua kocha wake Carlo Ancelotti, klabu ya Real Madrid sasa imemthibitisha ramsi Rafael Benitez kama kocha wake mpya, zikiwa ni siku mbili tu tangu kocha huyo aachane na klabu yake ya zamani, Napoli Madrid imethibitisha Benitez ametia saini mkataba wa miaka mitatu na ataanza kazi yake mara tu baada ya mapumziko baada ya […]

 

10 years ago

GPL

RAFAEL BENITEZ ASAINI MIAKA 3 KUINOA REAL MADRID

Kocha Rafa Benitez baada ya kutua Real Madrid. KLABU ya Real Madrid imemthibitisha Kocha Rafa Benitez kuwa meneja wao mpya baada ya kutimuliwa kwa kocha Carlo Ancelotti. Zinedine Zidane (kushoto), ambaye ni kocha wa timu B ya Madrid akisalimiana na Benitez. Benitez amesaini mkataba wa miaka mitatu kukinoa kikosi hicho akitokea Napoli inayoshiriki Serie A iliyomaliza ikiwa nafasi ya tano.… ...

 

9 years ago

Bongo5

Majibu ya Zinedine Zidane kuhusu kuchukua nafasi ya Rafael Benitez

2706115700000578-0-image-a-9_1427721283259

Baada ya mechi ya El Classico pamekuwa na tetesi kwamba Zinedine Zidane huenda akaichukua nafasi ya Rafael Benitez kwenye club ya Real Madrid.

2E97D16100000578-3330821-image-m-3_1448305345892

Baada ya mchezaji wazamani wa Barcelona na Brazil Rivaldo ku-post kwenye mtandao wake wa instagram kwamba ni wakati wa Real Madrid kumpa nafasi Zidane ajaribu ku-manage club hiyo kama Pep Gurdiola alivyopewa nafasi na Barcelona.

Zidane

Waandishi wa habari wamemtafuta Zidane ambae ni kocha wa kikosi cha vijana cha Real Madrid “Castilla” na yeye alijibu...

 

10 years ago

Africanjam.Com

RAFAEL BENITEZ ATANGAZWA RASMI KUA KOCHA MPYA WA REAL MADRID

Klabu ya Real Madrid imemthibitisha Mhispania Rafael Benitez kama kocha wake mpya zikiwa zimepita siku mbili tangu kocha huyo alipoachana na klabu yake ya zamani ya Napoli.Benitez ambaye ni mzaliwa wa Madrid , ana historia ndefu ndani ya klabu hiyo akiwa amewahi kuichezea akiwa kwenye kikosi cha vijana kabla ya kuwa kocha wa timu za vijana na baadae kikosi cha kwanza akiwa chini ya Vicente Del Bosque.
Madrid imethibitisha kuwa Bneitez ametia saini mkataba wa miaka mitatu na ataanza kazi yake...

 

9 years ago

Bongo5

Rafael Benitez atimuliwa Real Madrid, nafasi yake yachukuliwa na Zidane

2FC5C48900000578-3383931-image-a-52_1451919569762

Uongozi wa klabu ya Real Madrid hatimaye umemfukuza kocha wake Rafael Benitez ambaye amedumu kwa miezi 7 pekee.

2FCC0AEA00000578-3384137-image-m-40_1451939045866

Nafasi ya Benitez imechukuliwa na aliyekuwa mchezaji wa Ufaransa Zinedine Zidane ambaye awali alikuwa kocha wa kikosi B cha Real Madrid.

2FC5C48900000578-3383931-image-a-52_1451919569762

Hii ni kutokana na matokeo mabaya kwa timu hiyo, ambapo ilitoka sare 2-2 na Valencia, katika Mechi ya La Liga, sare ambayo imewaacha vigogo hao nafasi ya 3 wakiwa nyuma ya Atletico Madrid kwa pointi 4.

Tangu atue Madrid, Benitez amekuwa hapendwi...

 

9 years ago

MillardAyo

Hii ndio kauli ya kwanza ya Rafael Benitez baada ya kufukuzwa kazi Real Madrid …

Baada ya kufukuzwa kazi kwa aliyekuwa kocha wa klabu ya Real Madrid ya Hispania Rafael Benitez, January 6 ndio siku ambayo ameongea kauli yake ya kwanza toka atimuliwe kazi na nafasi yake ichukuliwe na Zinedine Zidane.  Benitez amefunguka na kumshukuru kila mmoja ndani ya Real Madrid. “Kwa sasa nimeondoka Real Madrid kama kocha, napenda kuaga na […]

The post Hii ndio kauli ya kwanza ya Rafael Benitez baada ya kufukuzwa kazi Real Madrid … appeared first on...

 

9 years ago

Mtanzania

Cristiano Ronaldo afikisha mabao 500

Football/Soccer: Spanish "Super Cup" - Atletico de Madrid vs Real MadridMADRID, HISPANIA

NYOTA wa timu ya Real Madrid, Cristiano Ronaldo, amefanikiwa kufikisha mabao 500 katika historia yake ya soka baada ya juzi kuifungia klabu yake mabao mawili katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Malmo.

Mabao hayo ya Ronaldo yametokana na kucheza michezo 753 katika klabu mbalimbali pamoja na timu yake ya taifa ya Ureno.

Hata hivyo, amekuwa ni mchezaji ambaye anaongoza kwa mabao mengi katika michuano ya Ligi ya Mabingwa, huku akiwa na jumla ya mabao 82, akimuacha...

 

10 years ago

BBCSwahili

Cristiano Ronaldo atwaa tuzo ya BBC.

Cristiano Ronaldo ametwaa tuzo ya mwanamichezo bora wa mwaka wa shirika la utangazaji la BBC.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani