LIFAHAMU TATIZO LA UVIMBE KATIKA NJIA YA HAJA KUBWA (BAWASIRI)-4
MpendwA msomaji ningependa kukukumbusha mada ya wiki iliyopita kabla sijaendelea na mada ya leo.  Wiki iliyopita tuliangalia tatizo la Bawasiri au ugonjwa wa kuota kijinyama katika njia ya haja kubwa na tulijikita katika dalili za ugonjwa huu. Leo tutaangalia matibabu ya ugonjwa huu wa katika pande zote mbili za matibabu, yaani tiba asili na tiba za kizungu. Matibabu ya dawa za hospitali au dawa za kizungu yamekuwa na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLLIFAHAMU TATIZO LA UVIMBE KATIKA NJIA YA HAJA KUBWA (BAWASIRI)-3
10 years ago
GPLLIFAHAMU TATIZO LA UVIMBE KATIKA NJIA YA HAJA KUBWA (BAWASIRI)-2
10 years ago
GPLTATIZO LA NYAMA KUJITOKEZA NJIA YA HAJA KUBWA {HEMORRHOID}
11 years ago
GPLMATATIZO KATIKA NJIA YA HAJA KUBWA
9 years ago
VijimamboFAHAMU UGONJWA WA BAWASIRI AU KUOTA KINYAMA SEHEMU YA HAJA KUBWA NA NAMNA YA KUEPUKA NA UGONJWA HUU
~watu wengi wanasumbuliwa na tatizo hili ambalo huwafanya kuwa na uoga na aibu wa kuelezea na kushindwa hata kwenda hospital kupata tiba
JE, UNAJUA BAWASIRI/HEMORRHOIDS NI NINI????!!
~Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na nnje ya sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa...
11 years ago
Mwananchi20 Jul
Tatizo la kupata haja kubwa
11 years ago
GPLMTOTO MIAKA 3 AJISAIDIA HAJA KUBWA KWA NJIA YA MDOMO
9 years ago
Mwananchi28 Aug
Bawasiri inatibika kwa njia za kisayansi
10 years ago
Michuziuhaba wa walimu na watalamu wa kundisha namna ya ukataji vito na madini ni tatizo kubwa katika sekta ya madini
Sekta ya madini nchini bado inakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo uhaba wa walimu na wataalamu wa kufundisha namna ya ukataji wa vito vya madini hali inayosababisha kuuzwa kwa madini ghafi nje ya nchi na kupelekea kuuzwa kwa bei ya chini na pesa nyingi kwenda nje ya nchi .
Hayo yameelezwa na mratibu wa kituo cha Jimolojia Tanzania,Musa Shanyangi wakati akiongea na waandishi wa habari katika kituo hicho kinachotoa mafunzo ya ukataji madini ya vito,ambapo wameanza...