Tatizo la kupata haja kubwa
Ni tatizo linalokua kwa kasi kwa sasa kutokana na mfumo wa maisha yasiyokuwa na mazoezi ya kutosha, vyakula vya kisasa na kuacha vya asili na pia kuongezeka kwa magonjwa katika jamii mfano kisukari, kiharusi na kadhalika.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLTATIZO LA NYAMA KUJITOKEZA NJIA YA HAJA KUBWA {HEMORRHOID}
Wiki iliyopita tuliweza kuona nini maana kubwa ya tatizo hili la kutokwa na kijinyama katika sehemu au maeneo ya haja kubwa na leo tutaweza kuona basi vyanzo au visababishi hasa vya tatizo hili kwa mwanadamu. VISABABISHI
Sasa wataalamu bado hawajawa na majibu kamili kuhusiana na tatizo hili la kutokwa na kijinyama katika maeneo ya haja kubwa husababishwa na kitu gani hasa lakini wameweza kutoa baadhi ya vitu ambavyo vinaaminika...
10 years ago
GPLLIFAHAMU TATIZO LA UVIMBE KATIKA NJIA YA HAJA KUBWA (BAWASIRI)-3
Naendelea kuelezea tatizo la uvimbe katika njia ya haja kubwa, lengo likiwa ulifahamu kwa kina na ujue dalili na namna ya kuliepuka. Uvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa. Wengi wanaona uvimbe lakini wanaona ni kama kitu cha kawaida na wanapata maumivu ya vimbe hizo bado wanavumilia. Naomba ufahamu kuwa si kawaida kuwa na uvimbe katika tundu la haja kubwa. Uvimbe huo ni dalili za kuwa mhusika ana Bawasiri hivyo ni vema...
10 years ago
GPLLIFAHAMU TATIZO LA UVIMBE KATIKA NJIA YA HAJA KUBWA (BAWASIRI)-2
Wiki iliyopita tulianza kupeana elimu juu ya tatizo la kuota kijinyama katika njia ya haja kubwa (bawasiri). Tuliangalia chanzo cha ugonjwa huu na nikawapa ushauri kwamba ukiona una tatizo hilo ni vema ukawa huru maana ni ugonjwa wa kawaida na unatibika kama magonjwa mengine. Hivyo ni vema ukawahi katika vituo vya tiba ili upate matibabu mapema na kuepukana na adha za ugonjwa husika. Leo tutaangalia dalili za ugonjwa huu wa...
10 years ago
GPLLIFAHAMU TATIZO LA UVIMBE KATIKA NJIA YA HAJA KUBWA (BAWASIRI)-4
MpendwA msomaji ningependa kukukumbusha mada ya wiki iliyopita kabla sijaendelea na mada ya leo.
 Wiki iliyopita tuliangalia tatizo la Bawasiri au ugonjwa wa kuota kijinyama katika njia ya haja kubwa na tulijikita katika dalili za ugonjwa huu. Leo tutaangalia matibabu ya ugonjwa huu wa katika pande zote mbili za matibabu, yaani tiba asili na tiba za kizungu.
Matibabu ya dawa za hospitali au dawa za kizungu yamekuwa na...
11 years ago
GPLMATATIZO KATIKA NJIA YA HAJA KUBWA
TATIZO hili huwapata wanaume na wanawake. Matatizo haya hujitokeza katika hali ya tofauti kutegemea na chanzo halisi. Mfumo wa haja kubwa ni pamoja na mfuko wa kuhifadhia haja kubwa ‘rectum’ na sehemu haja inapokea ‘anus’. Ulaji usiofaa wa vyakula huchangia tatizo hili endapo hupati choo laini mara kwa mara. Jinsi ya tatizo linavyotokea
Kukosa kupata choo kikubwa mara kwa mara ni mojawapo ya tatizo...
10 years ago
GPLMTOTO AZALIWA BILA SEHEMU YA HAJA KUBWA
Joseph Ngilisho, Arusha
MTOTO Salma Omary (3) mkazi wa Banda Mbili, Sombetini jijini hapa, anaishi kwa mateso makali baada ya kuzaliwa akiwa hana sehemu ya haja kubwa, hali iliyolazimu kujisaidia kupitia tundu lililotobolewa tumboni kwake.Mama mzazi wa mtoto huyo, Mariamu Andrea (28) aliliambia gazeti hili kuwa zinahitajika kiasi cha shilingi milioni moja ili aweze kutibiwa katika hospitali ya KCMC mjini Moshi na kuwa mzazi...
10 years ago
GPLHAJA NDOGO MRIJA WAKE, HAJA KUBWA MRIJA WAKE
Stori:  makongoro oging’
“Maishi yangu yako hatarini, nachungulia kaburi, nimeteseka kwa muda mrefu bila kupona wala msaada, nimetoka katika ukoo maskini unaotegemea kwa asilimia kubwa kilimo cha jembe la mkono, nitapata wapi shilingi milioni moja na laki tano na arobaini na tano elfu ili nikatibiwe?â€
Hii ni sehemu ya kilio cha Steven John anayesumbuliwa na ugonjwa wa saratani ya tumbo. Steven John...
10 years ago
Michuzi01 Nov
11 years ago
GPLMTOTO MIAKA 3 AJISAIDIA HAJA KUBWA KWA NJIA YA MDOMO
Stori: Makongoro Oging’ MASKINI Mungu wangu! Ndiyo maneno aliyoanza nayo kusema mama mzazi wa mtoto Salome Abdallah Said (3), kutokana na mwanaye huyo afya yake kuzidi kubadilika kufuatia kuumwa mara kwa mara licha ya kufanyiwa upasuaji mara mbili. Mtoto Salome Abdallah Said (3) akiwa na kovu tumboni baada ya upasuaji. Akizungumza na gazeti hili wiki iliyopita mama wa mtoto huyo Veronica Laurent, mkazi wa Bunju B, jijini...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania