Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Linah anaamini ‘No Stress’ imeshindwa kufanya vizuri sababu ya uchaguzi

Hitmaker wa Ole Temba, Linah amesema wimbo wake wa No Stress umeshindwa kufanya vizuri kutokana na watu wengi kuwa busy kwenye masuala ya ya kampeni za uchaguzi. Linah ameiambia Bongo5 kuwa, baada ya hali hiyo amejipanga kuachia wimbo mpya hivi karibuni. “Yeah kweli ‘No Stress’ imeshindwa kufanya vizuri kuliko Ole Temba kama nilivyotarajia kutokana na […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

No Stress: Nipo vizuri sina tatizo la uzazi — asema Linah na kukanusha kuwa sio mjamzito

Linah

Linah Sanga amekanusha uvumi kuwa ana ujauzito na kuweka taarifa sawa kuhusu afya yake ya uzazi.

Linah

Mwimbaji huyo wa ‘No Stress’ amesema kuwa kwasasa anajipanga ndio maana hajaamua kupata mtoto lakini hiyo haimaanishi kuwa ana matatizo yoyote ya uzazi kama baadhi ya watu wanavyohisi.

“Mimi nipo vizuri bhanaa sina tatizo la uzazi ila huwa najipanga ndio maana watu hawajahi kuniona nina ujauzito, lakini kwa sasa najiachia sanaa hivyo muda wowote wanaweza kusikia jambo,” alisema Linah kupitia...

 

9 years ago

Bongo5

Madee aeleza sababu za Mb Dogg kushindwa kufanya vizuri baada ya kuondoka Tip Top

MB-DOGG

MB Dogg ni miongoni mwa majina yaliyoshiriki kwenye kuichora ramani iliyotumika kwenye ujenzi wa kiwanda ya muziki wa Bongo fleva miaka kadhaa iliyopita. Hits zake kama Latifah, Si uliniambia, Inamaana na zingine zilimuweka kwenye nafasi za juu kipindi hicho akiwa chini ya Tip Top Connection.

MB-DOGG

Hivi sasa jina la MB Dogg liko kwenye orodha ya wasanii wa zamani walioshindwa kurudi na kukaa kwenye nafasi zao, na msanii mwenzake Madee wa Tip Top anaifahamu sababu iliyomkwamisha MB Dogg ashindwe...

 

10 years ago

Africanjam.Com

NEW MUSIC: NO STRESS - LINAH (DOWNLOAD)




Africanjam is website that came into service December 2013(with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports, Entertainment as well as Technology tips and some Amazing Facts. We also provide Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...

 

10 years ago

GPL

10 years ago

Africanjam.Com

NEW VIDEO: NO STRESS - LINAH (Official Video)




Africanjam is website that came into service December 2013(with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports, Entertainment as well as Technology tips and some Amazing Facts. We also provide Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...

 

11 years ago

Bongo5

Video: Profesa J azungumzia sababu zinazomfanya aendelee kuwepo vizuri kimuziki

Tangu anatoka akiwa na kundi la Hard Blasters Crew, na baadaye kuja kuachia album nne ambazo ni Machozi Jasho na Damu (2001), Mapinduzi Halisi (2003), J.O.S.E.P.H (2006) na Aluta Continua (2007), Profesa ameendelea kufanya vizuri kwenye muziki na sasa anafanya vizuri na wimbo aliomshirikisha Diamond Platnumz ‘Kipi Sijasikia’. Kwenye video hii, Mchawi wa Rhymes anaelezea […]

 

10 years ago

Bongo5

Barakah Da Prince: Nimejipanga kuendelea kufanya vizuri

Muimbaji anayefanya vizuri kwenye muziki, Barakah Da Prince amesema yeye na menejimenti yake Tetemesha amejipanga vizuri kuhakikisha anaendelea kufanya vizuri. Akizungumza na Bongo5 hivi karibuni katika show ya miaka 10 ya THT iliyofanyikia Escape 1, Barakah alisema yupo makini na atajitahidi kufanya kile kinachohitajika kwenye muziki wa sasa ili aendelee kufanya vyema zaidi. “Mimi najiitaga […]

 

9 years ago

Habarileo

CCM yaendelea kufanya vizuri mkoa wa Lindi

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Lindi mpaka sasa kinashikilia majimbo manne kati ya manane ya uchaguzi kwa kushinda viti vya ubunge katika uchaguzi uliofanyika juzi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani