Linah na Makomando wazungumzia moto watakaouwasha kwenye Fiesta Iringa leo
Msanii nyota wa kike wa muziki wa kizazi kipya, Linah Sanga ‘Linah’, leo ataungana na kundi la Makomando kutoa burudani ya nguvu katika tamasha la Serengeti Fiesta litakalofanyika katika Uwanja wa Samora, mkoani Iringa. Tamasha hilo limetua mkoa huo aliotoka Linah, ikiwa ni baada ya kuchengua maelfu ya wapenzi wa burudani kwenye Uwanja wa Ali […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi19 Sep
Fiesta kuwasha moto Iringa leo
10 years ago
VijimamboSERENGETI FIESTA YAWATAMBULISHA T.I, DAVIDO, VICTORIA KIMANI NA WENGINEO LEO KABLA YA KUPANDA KWENYE JUKWAA LA FIESTA MUDA MFUPI UJAO
11 years ago
Dewji Blog11 Jun
10 years ago
Tanzania Daima30 Aug
Tamasha la Serengeti Fiesta kuwasha moto Moshi leo
UHONDO wa burudani ya aina yake kutoka kwa wasanii mahiri waliopo katika msafara wa Serengeti Fiesta 2014, leo ni zamu ya wapenzi na mashabiki wa mji wa Moshi na vitongoni...
11 years ago
Michuzi01 Jul
JESHI LA POLISI IRINGA WALAKAMATA WATUHUMIWA WA MWANAFUNZI ALIYECHOMWA MOTO, MWILI WAKE WAAGWA LEO
![](https://4.bp.blogspot.com/-xJi_Um_ALo0/U7LbWXdlLDI/AAAAAAAAKCA/cFuU36YPD_8/s1600/10492583_607210436052705_2820931477228157714_n.jpg)
Mwili wa Daniel Anael Lema, aliyekuwa mwanafunzi wa mwaka wa nne wa shahada ya sheria katika Chuo Kikuu Kishiriki cha Mt. Augustino, Tawi la Iringa (Ruaha University College - RUCO) umeagwa leo na kusafirishwa kuelekea mkoani kwao kilimanjaro kwa mazishi.Wanafunzi wa chuo hicho na wananchi wa manispaa ya Iringa walioguswa na tukio hilo walijitokeza katika hospitali ya mkoa wa Iringa ambako shughuli ya kuuga mwili huo ilifanyika.Jeshi la Polisi...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yLBGfqJNowh6VtCaGnioaFGfdhGgC9kByAW97j9CA6GTR2NYjWU9ZLaH6bQ9ppafBUoZW8mC9UkY-kIa-0H5qIp*4k0lux8*/MRBLUE.jpg?width=650)
SERENGETI FIESTA IRINGA GUMZO LA MWAKA
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/Hcq_IQcY3mo/default.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/Nv3byRGzS8s/default.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-WT7nwPCOnLE/VB3Ep84OjgI/AAAAAAACrSA/Rvf7vaF1fBE/s72-c/16.jpg)
WAKAZI WA IRINGA WABURUDIKA NA UJIO WA TAMASHA LA FIESTA 2014 NDANI YA UWANJA WA SAMORA.
![](http://3.bp.blogspot.com/-WT7nwPCOnLE/VB3Ep84OjgI/AAAAAAACrSA/Rvf7vaF1fBE/s1600/16.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-cIuUKZg_eL8/VB3Eq21IygI/AAAAAAACrSM/FS0mzD69A6Y/s1600/17.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-4YoYK7gAa9I/VB3EpnIUBkI/AAAAAAACrR8/YovT4wQc8h8/s1600/15.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-k_1PX3vr7lc/VB3EuK8I4SI/AAAAAAACrS0/MnCpnZ2xTzk/s1600/24.jpg)