Lionel Messi ashinda tuzo nyingine, orodha kamili ipo hapa
Superstar wa klabu ya Barcelona, Lionel Messi ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka 2015 (Globe Soccer Awards) inayotolewa kila mwaka.
Lionel Messi akipokea tuzo yake ya heshima ya mchezaji bora wa mwaka kutoka Globe Soccer, Dubai
Globe Soccer Awards 2015 zilizotolewa huko Dubai na ni tuzo maalum kwa ajili ya wanasoka, viongozi bora wa klabu, wakala bora, kocha bora.
Legend wa Italia Andrea Pirlo alishinda tuzo ya heshima baada ya Globe Soccer kutambua mchango wake kwenye soka
Ni tuzo...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo28 Dec
List ya washindi wa tuzo za Globe Soccer Awards 2015, Lionel Messi kashinda, hii ndio list kamili …
Ikiwa ni siku kadhaa zimepita toka gazeti la Hispania la Marca litangaze list ya wachezaji kumi bora kwa mwaka 2015 ikiongozwa na Lionel Messi ikifuatiwana Neymar na Cristiano Ronaldo kutajwa kuwa nafasi ya nane. December 27 Lionel Messi ametajwa kushinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka 2015 (Globe Soccer Awards) inayotolewa kila mwaka. Globe Soccer Awards […]
The post List ya washindi wa tuzo za Globe Soccer Awards 2015, Lionel Messi kashinda, hii ndio list kamili … appeared first on...
9 years ago
Mtanzania29 Dec
Lionel Messi amgaragaza Ronaldo tuzo za Globe
EMIRATES, DUBAI
NYOTA wa klabu ya Barcelona, Lionel Messi, amemgaragaza mpinzani wake, Cristiano Ronaldo wa Real Madrid katika tuzo za Globe Soccer, ambapo Messi amefanikiwa kuchukua mchezaji bora wa mwaka.
Tuzo hizo ambazo zimetolewa juzi mjini Dubai, Messi aliibuka kinara wa tuzo hizo huku Ronaldo akishika nafasi ya pili.
Wakati huo huo, klabu ya Barcelona ilifanikiwa kuchukua klabu bora ya mwaka kutokana na kukusanya mataji mengi msimu uliopita, huku Josep Bartomeu akichukua rais bora wa...
9 years ago
Bongo501 Dec
Lionel Messi amgalagaza Cristiano Ronaldo kwenye tuzo za La Liga
![Ronaldo-Messi](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Ronaldo-Messi-300x194.jpg)
Lionel Messi ametajwa kama mchezaji bora na kumpiku Cristiano Ronaldo kwenye tuzo za kila mwaka za La Liga zilizotolewa jijini Barcelona, Jumatatu hii.
Tuzo hizo zilizotolewa siku moja ambayo wawili hao pia walitajwa kwenye majina yaliyochujwa kwenye tuzo ya Ballon d’Or ilikuwa moja kati ya mbili zilizochukuliwa na staa huyo wa Argentina.
Naye kocha wa Barcelona, Luis Enrique alitajwa kama kocha wa mwaka.
Messi pia alishinda mshambuliaji bora huku Neymar akishinda mchezaji bora wa...
10 years ago
Michuzi03 Dec
ORODHA KAMILI YA WANAOWANIA TUZO ZA TASWA 2013/2014
9 years ago
Bongo508 Sep
Washindi wa tuzo za ‘Nigeria Entertainment Awards’ 2015 (Orodha kamili)
9 years ago
Bongo517 Sep
Orodha kamili ya vipengele vyote vya tuzo za MTV EMA 2015
10 years ago
Michuzi18 Feb
10 years ago
Bongo509 Feb
Majina ya washindi wa tuzo za Grammy 2015 zilizofanyika Jumapili Feb.8 (Orodha kamili)