‘Lipumba alikaidi amri ya polisi’
Dar es Salaam. Kamishna Msaidizi wa Polisi, Sebastian Zacharia ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa alimuomba Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Ibrahim Lipumba atii amri ya polisi ya kuzuia maandamano yao lakini alikaidi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo30 Jul
‘Lipumba alikataa kutii amri halali’
KAMISHNA Msaidizi wa Polisi, Sebastian Zacharia ameieleza Mahakama kuwa, Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba alikataa kutii amri halali ya polisi iliyomtaka asitishe maandamano.
9 years ago
Mwananchi16 Aug
Polisi wasitoe amri, wakae na vyama vya siasa
Katikati ya wiki, Jeshi la Polisi lilitoa maelekezo kuwa kuanzia sasa wagombea urais kutoka vyama mbalimbali vya siasa, hawataruhusiwa kuambatana na misafara wakati wa kwenda kuchukua fomu na kuzirudisha Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
5 years ago
BBCSwahili23 Jun
Polisi Kenya ashtakiwa kwa mauaji wakati wa amri ya kutotoka nje usiku
Polisi mmoja nchini Kenya ameshtakiwa kwa mauaji ya kijana Yasin Moyo, 13, ambaye alipigwa risasi akiwa barazani kwao
10 years ago
BBCSwahili23 Jan
Alikaidi wazazi lakini sasa anajuta
Sarika ni msichana kutoka familia tajiri ya kihindi, lakini ndao yake kwa mwanaume mfarika ilisababisha familia yake kumlaani. Kwa sasa ndoa imevunjika
11 years ago
Bongo509 Aug
Picha/Video: Ephraim Kibonde akamatwa na polisi kwa kusababisha ajali na kukaidi amri ya trafiki
Mtangazaji maarufu wa kipindi cha Jahazi cha Clouds FM, Ephrain Kibonde leo ameshuhudia jinsi ambavyo mkono wa sheria ulivyo mrefu hata kwa mtu maarufu kama yeye alipojikuta kwenye wakati mgumu baada ya kusababisha ajali na kushindwa kutoa ushirikiano kwa polisi wa barabarani. Picha ya mtangazaji huyo akiwa amepigwa ‘Tanganyika Jeki’ na polisi wa barabarani imeenea […]
10 years ago
Vijimambo22 Sep
Prof. Lipumba awavaa Polisi
![](http://bongocelebrity.files.wordpress.com/2007/12/lipumba.jpg)
Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba, amesema kitendo hicho ni cha uvunjaji wa katiba ya nchi inayotoa uhuru wa kutafuta na kupata habari na pia ni cha uvunjaji wa haki za binadamu na kwamba, kimeonyesha jinsi jeshi hilo lisivyoheshimu haki za wananchi...
10 years ago
Mwananchi01 Feb
Lipumba ahutubia bila Polisi
 Siku tano baada ya kuzuiwa kufanya mkutano wa hadhara kwa madai ya tishio la ugaidi, Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba jana alihutubia wananchi eneo la Manzese jijini Dar es Salaam bila kuwapo kwa ulinzi wa Jeshi la Polisi.
10 years ago
Mwananchi02 Feb
Lipumba kumwona JK kuhusu ubabe wa polisi
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amesema anatarajia kwenda Ikulu kumwona Rais Jakaya Kikwete ili kumweleza mambo mbalimbali ikiwamo ubabe na upendeleo unaofanywa na polisi.
10 years ago
Mwananchi20 Aug
Profesa Lipumba: Sitasahau siku polisi waliponivunja mkono
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amesema hatasahau kamwe mambo mawili makubwa katika maisha yake kisiasa; kukamatwa, kupigwa na kisha kuvunjwa mkono na polisi waliokuwa wakijaribu kudhibiti wafuasi wa chama chake.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania