Lipumba ahutubia bila Polisi
 Siku tano baada ya kuzuiwa kufanya mkutano wa hadhara kwa madai ya tishio la ugaidi, Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba jana alihutubia wananchi eneo la Manzese jijini Dar es Salaam bila kuwapo kwa ulinzi wa Jeshi la Polisi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog13 Apr
Kinana ahutubia bila kujali Mvua Kigoma
-Asisitiza Umoja na Mshikamano Kigoma
-Asema ahadi zote zitatekelezwa
-Awataka Viongozi wa CCM kufanya mikutano mingi na wanachama na wananchi kwa jumla
-Nape afundisha Umma Demokrasia ya kweli, aonyesha namna gani vyama vingi vya upinzani ni wababaishaji atolea mifano namba alivyotelekezwa mgombea wa Chalinze
-Zaidi ya wanachama 350 wajiunga na CCM
![](http://2.bp.blogspot.com/-KcJp3rygzb8/U0mNIuVkoYI/AAAAAAAANGk/KD_xdJ0QzJ0/s1600/6.jpg)
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa wilaya ya Kigoma mjini bila kujali mvua,ambapo alisisitiza kuwa CCM...
10 years ago
Mwananchi30 Jul
‘Lipumba alikaidi amri ya polisi’
10 years ago
Vijimambo22 Sep
Prof. Lipumba awavaa Polisi
![](http://bongocelebrity.files.wordpress.com/2007/12/lipumba.jpg)
Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba, amesema kitendo hicho ni cha uvunjaji wa katiba ya nchi inayotoa uhuru wa kutafuta na kupata habari na pia ni cha uvunjaji wa haki za binadamu na kwamba, kimeonyesha jinsi jeshi hilo lisivyoheshimu haki za wananchi...
10 years ago
Mwananchi02 Feb
Lipumba kumwona JK kuhusu ubabe wa polisi
10 years ago
Mwananchi20 Aug
Profesa Lipumba: Sitasahau siku polisi waliponivunja mkono
10 years ago
Mtanzania07 May
Jamhuri imesema uongo kuhusu polisi — Profesa Lipumba
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahimu Lipumba amesema Jamhuri inasema uongo kwamba Jeshi la Polisi liliwanyima kibali cha kuandamana na kwamba akiwa na msafara wa magari alifuatana na wafuasi wake kuelekea Mbagala Zakhem.
Profesa Lipumba anadai si kweli kwamba walifanya maandamano, ispokuwa walipigwa tu wao na wala hawakukamatwa wakiwa katika maandamano.
Alidai hayo jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi,...
10 years ago
Mtanzania14 Feb
Lipumba awanusuru vijana wake na kipigo cha polisi
Na Elizabeth Mjatta na Asifiwe George
MWENYEKITI wa Chama Cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahimu Lipumba amezuia maandamano ya Jumuia ya Vijana wa chama hicho Taifa (JUVICUF) kwa kile alichokieleza kuwa ni hofu yake ya kupigwa , kuumizwa na hata kuuawa na Jeshi la Polisi waliokuwa wamejipanga kuzima maandamano yao.
JUVICUF walipanga kuandamana kwenda Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuishinikiza kuongeza muda wa uandikishaji katika daftari la wapiga kura.
Maandamano hayo pia yangefika hadi...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OBVF16y-PPJ8lsovfhl7eyxfbSGQ8jvBngIjFJnV4Fxm9MVZRU6b9ganol6Wyjyshr4cM*H*cRj4BbIhK-XQsq42Box7A*fU/breakingnews.gif)
PROF. LIPUMBA NA BAADHI YA WANACHAMA WAKE WAKAMATWA NA POLISI