Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Lipumba alikataa kutii amri halali’

KAMISHNA Msaidizi wa Polisi, Sebastian Zacharia ameieleza Mahakama kuwa, Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba alikataa kutii amri halali ya polisi iliyomtaka asitishe maandamano.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

mahakama kuu yafuta tena maombi ya sheikh ponda kuodolewa shitaka la kukaidi amri halali

MAHAKAMA Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, leo imefuta kwa mara ya pili maombi ya kufanya marejeo kuhusu kuliondoa shitaka la kukaidi amri halali iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, dhidi ya Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda  (pichanibaada ya kufunguliwa kwa kukiuka sheria.   Kadhalika maombi hayo yamefutwa baada ya kukiuka kifungu cha 372 kidogo cha (2) cha Mwenendo wa Sheria za Makosa ya Jinai (CPA) ambacho hakiruhusu maombi hayo...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Lipumba alikaidi amri ya polisi’

Dar es Salaam. Kamishna Msaidizi wa Polisi, Sebastian Zacharia ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa alimuomba Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Ibrahim Lipumba atii amri ya polisi ya kuzuia maandamano yao lakini alikaidi.

 

11 years ago

GPL

Okwi alikataa kuanza na Simba

Mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi.
Na Mwandishi Wetu
KOCHA wa zamani wa Yanga, Ernie Brandts, amesema asingeweza kumpanga mshambuliaji Emmanuel Okwi katika mechi dhidi ya Simba ya Nani Mtani Jembe ambayo kikosi chake kililala kwa mabao 3-1 kwa kuwa aliomba. Ulinzi ukiwa umeimarishwa wakati Okwi akiwasili jijini Dar akitokea Uganda kuungana na… ...

 

11 years ago

Habarileo

Dereva Morobest ‘alikataa’ kupitwa

AJALI iliyoua watu 18 na kujeruhi 56 mkoani Dodoma, imeelezwa na polisi kwamba ilitokana na dereva wa basi la Morobest kuendesha kwa mwendo wa kasi kwa lengo la kupita basi la Al Saedy lililokuwa limetangulia.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dogo Aslay alikataa jina lake

MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Asilahi Isihaka ‘Dogo Aslay’, amesema kutokana na umri wake kusogea, angependa kuitwa Aslay. Aslay anayetamba na wimbo wa ‘Ya Moto’ ambao umeimbwa na...

 

11 years ago

Mwananchi

Mtei: Kwa nini Nyerere alikataa kugeuka jiwe

>Ni nadra siku hizi kuzungumzia nchi kufilisika kiasi cha kukosa uwezo wa kununua mahitaji yake mbalimbali na kutoa huduma kwa raia wake.

 

11 years ago

BBCSwahili

IGAD yaasa viongozi kutii mkataba wa amani

Wapatanishi Afrika Mashariki, wanafanya mazungumzo na wanasiasa kadhaa wa Sudan Kusini kusisitiza mkataba wa amani uliotiwa saini Ijumaa unatekelezwa ipasavyo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Saa 'zakataa' kutii agizo la serikali Uturuki

Raia Uturuki walibaki kukanganyikiwa baada ya Serikali kuahirisha kurejeshwa nyuma kwa saa kama ilivyo kawaida Oktoba.

 

9 years ago

Habarileo

Vyama vya siasa vyatakiwa kutii sheria za nchi

MSAJILI wa Vyama vya Siasa nchini, amevitaka vyama vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi mkuu, kuheshimu na kutii sheria za nchi hasa sheria ya usajili wa vyama na gharama za uchaguzi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani