Lipumba asema waliikataa CCM, hawatumiki
Mwenyekiti wa zamani wa Chama cha Wananchi CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amesema wanaodhani wanatumika CCM wamekosa mwelekeo kwani alikuwa kinara wa kuitaka itoke madarakani.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo12 Jul
Lipumba asema yeye ndiye anayefaa kutawala
WAKATI kitendawili cha sitofahamu cha uwezekano wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kusimamisha mgombea mmoja wa Urais katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Taifa , Profesa Ibrahim Lipumba, ameibuka na kusema taifa linahitaji kuwa na kiongozi mwenye uwezo wa kuinua na kuboresha uchumi kupitia sekta ya viwanda na kilimo.
Alisema uchumi unaosimamiwa na viwanda na sekta ya kilimo ndiyo njia pekee itakayowezesha kuongeza ajira...
10 years ago
Vijimambo08 Aug
Mbatia Asema Yake Baada Ya Profesa Lipumba Kung’atuka Uenyekiti CUF
Kufuatia uamuzi wa Profesa Ibrahim Lipumba kujiuzulu nafasi ya uenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), watu mbalimbali wamekuwa na mtazamo tofauti huku wengi wakitaka kujua hatua hiyo imepokelewa vipi na viongozi wa Ukawa.Mwenyekiti wa NCCR- Mageuzi, James Mbatia ameelezea jinsi alivyopokea taarifa za hizo akiwa mwenyekiti mwenza wa Ukawa.Akiongea katika mahojiano maalum na waandishi wa habari, Mbatia amesema kuwa uamuzi huo ni wa kawaida kwa kuzingatia mfumo wa vyama vingi nchini na kwamba...
10 years ago
MichuziBALOZI DR. MAHIGA DAWA SI KUHAMA CCM ASEMA YEYE NI MKOMBOZI WA CCM IRINGA MJINI.
Balozi Dr Mahiga -Iringa mjini.
Na matukiodaimaBlogALIYEKUWA balozi wa kudumu wa umoja wa mataifa (UN) na mgombea urais katika mchakato wa ndani ya chama cha mapinduzi (CCM) balozi Dr Augustono Mahiga anayeomba kuteuliwa kuwa mgombea ubunge jimbo la Iringa mjini kupitia CCM amewashangaa makada maarufu wa chama hicho walioshindwa katika mchakato wa ndani ya chama kwa nafasi ya urais kuhama chama hicho kuwa hao hawakuwa na mapenzi ya kuwatumikia watanzania na kuwa watazunguka kote ila...
11 years ago
Mwananchi25 May
Lipumba adai JK alitishwa CCM
10 years ago
TheCitizen10 Aug
Lipumba: I haven’t taken bribe from CCM
9 years ago
GPLLIPUMBA SASA RASMI CCM
11 years ago
TheCitizen19 May
Lipumba targets CCM ‘clique’
10 years ago
Habarileo08 Oct
Lipumba- Ni vigumu kuiondoa CCM madarakani
CHAMA cha Wananchi (CUF) kimekiri kwamba ni vigumu kuondoa Chama Cha Mapinduzi (CCM) maradakani bila kuwa na umoja na mshikamano baina ya wanachama na viongozi.
10 years ago
Habarileo17 Dec
CCM yatikisa kwa Mbowe, Lipumba
MATOKEO ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika mwishoni mwa wiki kote nchini, yameendelea kuanikwa na kuonesha CCM imeendelea kung’ara.