Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LISSU AMSAFISHA MBOWE

Ojuku Abraham na Jelard Lucas
KATIKA kile kinachoonekana kama kumsafisha Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe dhidi ya kashfa ya uzinzi inayomuandama, Mwanasheria Mkuu wa chama hicho, Tindu Lissu amesema suala hilo ni maisha binafsi ya mtu, ambayo hayawezi kuhusishwa na wadhifa wake kwa namna yoyote. Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tindu Lissu. Akizungumza katika mahojiano maalum ndani...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WADHAMINI WA LISSU WAOMBA AMRI ITOLEWE YA KUMKAMATA KWA LISSU

WADHAMINI wa aliyekuwa mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu, Ibrahim Ahmed na Robart Katula wamefungua maombi  katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakiomba itolewe amri ya kukamatwa kwa mshtakiwa huyo kwa kuwa wao wameshindwa kumpata.
Madai hayo yamewasilishwa leo Februari 20, 2020 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba wakati kesi dhidi ya Lissu ilipopangwa kwa ajili ya kutajwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam.
Mapema wakili wa Serikali Mwandamizi, Wankyo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Lissu atonesha ‘kidonda’

MSEMAJI wa Kambi Rasmi ya Upinzani, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano), Tundu Lissu jana alitonesha madonda ya mjadala wa muundo wa Muungano uliyokuwa ukijadiliwa kwa hisia kali wakati wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Lissu amkubali Sitta

>Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema) amesema ameupokea kwa furaha, uteuzi na uamuzi wa Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta wa kugombea Uenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba.

 

11 years ago

GPL

Tundu Lissu…

Tundu Lissu. Na Saleh Ally
Yanga damu aliyevuliwa viatu na mashabiki wa Simba SC
MMOJA wa wanasiasa machachari nchini ni Tundu Lissu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Lissu ambaye ni Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), amekuwa akitajwa karibu kila sehemu yanapozungumziwa masuala mbalimbali yanayohusiana na siasa hapa nchini kutokana na umaarufu alionao.… ...

 

10 years ago

Vijimambo

Lissu alipuka bungeni

Sakata la uchotwaji wa zaidi ya Shilingi bilioni 300 kwenye akaunti ya Tegeta Escrow, limeibuka tena bungeni na kuzua malumbano makali baina ya Mwanasheria Mkuu mpya wa Serikali, George Masaju na Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema) Tundu Lissu (Anayeongea kwenye Video).

Lissu alilipuka bungeni na kumwambia Masaju kuwa ni mshauri wa serikali na si Bunge kuhusu masuala ya kisheria.

Akizungumza wakati akichangia mjadala uliohusu taarifa za Kamati za Bunge, Lissu alisema kuwa mafisadi wakubwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Makombora ya Lissu moto

MAKOMBORA ya maneno yaliyokuwa yakitolewa na msemaji wa taarifa ya wachache bungeni, Tundu Lissu, juu ya muundo wa muungano, hati na nukuu mbalimbali za viongozi wa kitaifa yalisababisha kuvunjika kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Lissu atikisa serikali

MAKOMBORA ya maneno yaliyokuwa yakitolewa na msemaji wa taarifa ya wachache bungeni, Tundu Lissu, juu ya muundo wa muungano, na kutokuwapo kwa Hati za Muungano kumetikisa serikali ambayo sasa imeamua...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani