Lissu atonesha ‘kidonda’
MSEMAJI wa Kambi Rasmi ya Upinzani, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano), Tundu Lissu jana alitonesha madonda ya mjadala wa muundo wa Muungano uliyokuwa ukijadiliwa kwa hisia kali wakati wa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania14 May
Serukamba atonesha vidonda Escrow, Tokomeza
Khamis Mkotya na Arodia Peter, Dodoma
MBUNGE wa Kigoma Mjini, Peter Serukamba (CCM), ametonesha vidonda vya ufisadi baada ya kuzungumzia ripoti ya Katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue iliyowasafisha baadhi ya watendaji serikalini waliohusika katika kashfa ya Escrow.
Serukamba ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu, alishangazwa na taarifa hiyo kuwasafisha baadhi ya watu waliohusishwa katika kashfa hiyo na kuwaacha wengine, jambo ambalo alisema ni ubaguzi.
Kauli hiyo aliitoa...
5 years ago
MichuziWADHAMINI WA LISSU WAOMBA AMRI ITOLEWE YA KUMKAMATA KWA LISSU
Madai hayo yamewasilishwa leo Februari 20, 2020 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba wakati kesi dhidi ya Lissu ilipopangwa kwa ajili ya kutajwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam.
Mapema wakili wa Serikali Mwandamizi, Wankyo...
11 years ago
Tanzania Daima24 Jun
‘Serikali ina kidonda ndugu’
MBUNGE wa Viti Maalumu, Conchester Rwamlaza (CHADEMA), amesema serikali ina kidonda ndugu ambacho hakiponi kutokana na kuruhusu mianya ya rushwa. Conchesta alitoa kauli hiyo bungeni jana alipokuwa akichangia hotuba ya...
9 years ago
Bongo506 Nov
Music: Harmonize — Kidonda Changu
Harmonize ni msanii mpya katika Bongo Flevani ambae anafanya vizuri kwasasa na single yake ya “Aiyola”. Yupo katika usimamizi wa staa wa muziki, Diamond Platnumz huu ni wimbo wake ambao siyo rasmi umevuja unaitwa “Kidonda Changu” usikilize hapa.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Vijimambo11 years ago
Mwananchi05 Jul
Tobo: Operesheni mpya inasaidia kupunguza ukubwa wa kidonda
9 years ago
GPLCATH: KIFO CHA DEO KIMENIACHIA KIDONDA KIKUBWA
10 years ago
Bongo Movies11 Feb
Ommy Dimpoz: Inzi Kufa Kwenye Kidonda Sio Ufala....
Japokuwa bado kuna baadhi ya watu hawaamini kuwa mwigizaji Wema Sepetu yupo kwenye mahusiano ya kimapezi na mwanamziki Ommy Dimpoz, eti wana-shoot video!!, sasa ukweli unazidi kujitokeza siku hadi siku.
Siku ya jana msanii Ommy Dimpoz alitupia picha hiyo hapo juu kwenye ukursa wake kwenye mtandao wa Instagram, na kuandika kipande cha maneno kutoka kwenye moja ya nyimbo za Yamoto Band.
“Inzi kufia kwenye kidonda sio ufala ila kapenda......”
Haikuishia hapo, muda kidogo akatupia kipande...
11 years ago
Tanzania Daima15 Apr
Lissu atikisa serikali
MAKOMBORA ya maneno yaliyokuwa yakitolewa na msemaji wa taarifa ya wachache bungeni, Tundu Lissu, juu ya muundo wa muungano, na kutokuwapo kwa Hati za Muungano kumetikisa serikali ambayo sasa imeamua...