Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LONGHORN PUBLISHERS WAKIZINDUA KAMUSI KUU YA KISWAHILI KUTOKA BAKITA

 Mgeni rasmi mkuu wa mkoa wa Mwanza Mh. Magesa Mulongo akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Kamusi ya kiswahili huku akishuhudiwa na mwenyekiti wa TAHOSSA Taifa Bonus Ndimbo katika ghafla iliyofanyika kwemye mkutano mkuu wa TAHOSSA jijini Mwanza. Mgeni rasmi akiwaonyesha wakuu wa shule nchini (hawapo pichani) kamusi kuu ya kiswahili aliyoizindua, kushoto ni muhariri mkuu wa kamusi hiyo James Mwilaria Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mh. Masesa Mulongo akisaini kitabu cha wageni mara baada...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Katibu mtendaji BAKITA amkabidhi kamusi kuu mpya ya kiswahili katibu mkuu wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo

Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel(kulia) akikabidhiwa kamusi kuu mpya ya Kiswahili kutoka kwa Katibu Mtendaji kutoka baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) Dkt Selemani Sewangi.Kamusi hiyo mpya ina jumla ya maneno makuu Zaidi ya elfu thelathini na sita(36000) na kurasa 1264. Katibu Mtendaji kutoka baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) Dkt Selemani Sewangi(kushoto) akitoa ufafanuzi kwa Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na...

 

10 years ago

Mwananchi

TATAKI yazindua kamusi ya Kinyarwanda na Kiswahili

Machapisho tisa yaliyotolewa na Taasisi ya Taaluma za Kiswahili (TATAKI) ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam yalizinduliwa jana na Rais wa awamu ya pili ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Ali Hassan Mwinyi.

 

11 years ago

Habarileo

Waziri Mukangara ataka BAKITA kupunguza upotoshaji Kiswahili

Dk Fenella MukangaraWAZIRI wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara ametaka Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA), kushirikiana na vyombo vya habari kutoa elimu ya matumizi sahihi ya Kiswahili sanifu kupunguza upotoshaji.

 

11 years ago

Dewji Blog

11 years ago

GPL

BURUDIKA NA HABARI MOTOMOTO KUTOKA MAGAZETI YA GLOBAL PUBLISHERS

Pata habari motomoto kwa kusoma magazeti ya Global Publishers Ltd ambayo ni Ijumaa Wikienda, Championi, Uwazi, Risasi, Amani na Ijumaa.

 

10 years ago

GPL

STORI 10 ZILIZOBAMBA KUTOKA TOVUTI YA GLOBAL PUBLISHERS MWAKA 2014

Stori: Gladness Mallya
KABANG! Picha za staa wa sinema na Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole Kiuno’ zinazomuonesha live akiwa chumbani tena kitandani kimahaba na mwandani wake, Nuh Mziwanda zimevuja, Risasi Jumammosi linazo kwenye makabrasha yake. KUSOMA ZAIDI INGIA HAPA: SHILOLE LIVE CHUMBANI
Stori: Erick Evarist na Imelda Mtema
NYOTA wa Nyimbo za Injili Bongo, Rose Mhando… ...

 

10 years ago

GPL

GLOBAL PUBLISHERS YAPATA VYETI VYA HESHIMA KUTOKA MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA

VYETI viwili vya heshima vilivyokabidhiwa kwa Kampuni ya Global Publishers  Ltd kutoka Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) katika hafla fupi iliyofanyika leo kwenye ukumbi wa Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam ambapo Mgeni Rasmi alikuwa Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Jenester Mhagama. Global Publishers imepata vyeti hivyo kwa kuwa mmojawapo ya wadau waliomstari wa mbele katika kuchangia elimu hapa… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani