Lowassa kuongeza ajira kupitia JKT, vyuo vya ufundi
MGOMBEA Urais kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kupitia Chama Cha Demokrasia (CHADEMA) Edward Lowassa amesema kuwa endapo atafanikiwa kuwa Rais atahakikisha vituo vya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) vinakuwa vyuo vya ufundi Stadi.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima12 Dec
JKT ina vyuo sita vya ufundi
JESHI la Kujenga Taifa (JKT) lina vyuo sita vinavyoendesha mafunzo ya ufundi stadi. Taarifa hiyo ilitolewa bungeni jana na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Shamsi Vuai Nahodha,...
11 years ago
Tanzania Daima13 Dec
Wilaya 43 kupatiwa vyuo vya ufundi
SERIKALI imepanga kujengwa vyuo vya ufundi stadi katika wilaya 43 zisizokuwa na vyuo hivyo. Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa, alieleza hayo bungeni jana alipokuwa akijibu...
9 years ago
Habarileo01 Jan
Vyuo vyote vya ufundi nchini kuhakikiwa
KATIBU Mkuu wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE), Dk Prime Nkwela na watendaji wa baraza hilo, wamepewa siku 30 kukagua vyuo vyote nchini, kujiridhisha na usajili na utoaji wa elimu katika vyuo hivyo.
9 years ago
Habarileo06 Dec
Serikali yahimizwa vyuo vya ufundi stadi
SERIKALI imetakiwa kuwekeza kwenye elimu ya vyuo vya ufundi stadi kwa lengo la kuviboresha na kutoa wahitimu bora hasa vijana.
11 years ago
Tanzania Daima22 Mar
‘Wazazi pelekeni watoto vyuo vya ufundi’
WAZAZI na walezi wametakiwa kuwapeleka watoto wao waliohitimu kidato cha nne katika vyuo mbalimbali vikiwemo vya ufundi na utalii, ili kuwaongezea utaalamu zaidi. Kauli hiyo ilitolewa jana na Diwani wa...
9 years ago
Dewji Blog30 Nov
Wazazi wawapeleke watoto wao vyuo vya ufundi ili wajiajiri!!
![](http://2.bp.blogspot.com/-rDsut8U_jLA/VlrdlMB0XYI/AAAAAAAAKX4/pqw5bmIuzlY/s320/IMG_20151128_132253.jpg)
hapa nchini ili kuepukana na tatizo la ajira.Inadaiwa kuwa watu wanaojiajiri ni wengi wanao toka katika
vyuo vya ufundi kuliko wanano maliza vyuo vikuu kutokana na wanao toka vyuo
vikuu wanategenea kuajiliwa huku wa vyuo vya ufundi wakijikita...
9 years ago
Mwananchi14 Oct
Lowassa: Nitaifanya JKT kuzalisha ajira kwa vijana
9 years ago
MichuziVETA KANDA YA DAR ES SALAAM YAFANYA MKUTANO NA WAMILIKI PAMOJA NA WAKUU WA VYUO VYA UFUNDI STADI