Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LOWASSA AJIANDIKISHA KWENYE BVR KIJIJINI KWAKE MONDULI

Waziri mkuu wa zamani Mh. Edward Lowassa ambaye pia ni Mbunge wa Monduli aliyemaliza muda wake akijiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura BVR kijijini kwake Ngarash Monduli jana Jumatano. Uchaguzi mkuu unatarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

JK ajiandikisha Kupiga kura kwa kutumia BVR kijijini Msoga leo, ZAIDI YA WATU MILIONI 11 WAJIANDIKISHA NCHINI

JUMLA ya watu milioni 11,248,194 wameandikishwa kwenye daftari la kudumu la wapiga kura zoezi ambalo linaendelea kwa sasa hapa nchini likiwa limeingia mkoani Pwani. Hayo yalisemwa leo kwenye Kijiji cha Msoga kata ya Msoga wilayani Bagamoyo na mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Taifa Damian Lubuva alipokuwa anampa taarifa Rais Dk Jakaya Kikwete mara baada ya kujiandikisha. Bw. Lubuva alisema kuwa malengo ni kuandikisha watu milioni 21 hadi 23 kote nchini mara zoezi hilo litakapokamilika kati...

 

10 years ago

GPL

JK AJIANDIKISHA KUPIGA KURA KWA KUTUMIA BVR KIJIJINI MSOGA JANA, ZAIDI YA WATU MILIONI 11 WAJIANDIKISHA NCHINI

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akijiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura kwa kutumia mfumo mpya wa kielektroniki(Biometric Voters Register( BVR) katika kijiji cha Msoga, kata ya Msoga wilayani Bagamoyo jana.Kulia akiangalia kwa makini ni mwandikishaji msaidizi Bi.Happyness Thomas Misana na katikati ni Afisa TEHAMA kutoka ofisi yaTume ya Taifa ya Uchaguzi Bi.Mariam Rajabu.Kushoto aliyesimama akishuhudia ni Mbunge wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Zoezi la uboreshwaji daftari la wapigakura laendelea mkoani Pwani, Rais Jakaya Kikwete ajiandikisha kupiga kura kwa kutumia BVR kijijini Msoga

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akijiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura kwa kutumia mfumo mpya wa kielektoniki(Biometric Voters Register( BVR) katika kijiji cha Msoga,kata ya Msoga wilayani Bagamoyo jana.Kulia akiangalia kwa makini ni mwandikishaji msaidizi Bi.Happyness Thomas Misana na katikati ni Afisa TEHAMA kutoka ofisi Tume ya Taifa Uchaguzi Bi.Mariam Rajabu.Kushoto aliyesimama akishuhudia ni Mbunge wa Chalinze Ridhwani Kikwete.

Afisa TEHAMA kutoka ofisi ya Tume ya...

 

9 years ago

Vijimambo

LOWASSA AHANI MSIBA WA MZEE KISUMO, KIJIJINI KWAKE USANGI, MKOANI KILIMANJARO

  Mgombea Urais Tanzania kwa tiketi ya Chadema,Mh. Edward Lowassa, akisaini kitabu cha maombolezo, wakati alipofika kuhani msiba wa aliewahi kuwa mwanasiasa mkongwe nchini, Marehemu Mzee Peter Kisumo, alipokwenda kuhani msiba Nyumbani kwa Familia ya Kisumo, Usangi, wilayani Mwanga, mkoani Kilimanjaro Oktoba 6, 2015.Picha na Othman Michuzi. Mgombea Urais Tanzania kwa tiketi ya Chadema, Mh. Edward Lowassa akiweka shada la maua katika kaburi la aliewahi kuwa mwanasiasa mkongwe nchini, Marehemu...

 

10 years ago

Mtanzania

Pinda ajiandikisha kijiji kwake Katavi

prime-ministerNa Mwandishi Wetu, Mpanda
WAZIRI MKUU, Mizengo Pinda amewataka Watanzania watumie fursa ya uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura kwa kujiandikisha waweze kushiriki uchaguzi mkuu ujao Oktoba 25 mwaka huu.
Hayo aliyasema jana baada ya kujiandikisha kwenye Ofisi ya Mtendaji Kata katika Kijiji cha Kibaoni wilayani Mpanda, Mkoa wa Katavi.
“Ninawasihi Watanzania wote tusiache kutumia fursa hii… kila mtu ahakikishe anajiandikisha. Ni fursa pekee itakayohakikisha kila mwananchi anashiriki uchaguzi wa...

 

10 years ago

Michuzi

MBUNGE MBATIA AJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA WAPIGA KURA KIJIJINI KWAO KWAMARE JIMBONI VUNJO

Mwenyekiti wa NCCR-MAGEUZI Mhe. James  Mbatia akitia saini katika kifaa kimoja wapo kwa ajili ya kuweka kumbukumbu wakati wa kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura  katika kijiji cha Kwamare kata ya Kirua Vunjo Magharibi Jimbo la Vunjo.Mh Mbatia akiweka vidole gumba kwa ajili ya kuchukuliwa alama.Afisa uandikisha akimkabidhi Mh Mbatia kitambulisho chake mara baada ya kumaliza zoezi la uandikishaji.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

GPL

MH. MIZENGO PINDA AJIANDIKISHA BVR DAFTARI LA WAPIGA KURA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kituo cha kuandikisha wapiga kura cha Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kibaoni wilayani Mlele Mei 25, 2015. Kushoto ni Mwandikishaji wapiga kura, Auxilia Gaspar.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akionyesho kitambulisho chake cha mpiga kura baada ya kujiandikisha katika. Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Katavi, Dkt Ibrahim Msengi na Kushoyo ni Mkurugenzi wa Tume ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani