MH. MIZENGO PINDA AJIANDIKISHA BVR DAFTARI LA WAPIGA KURA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kituo cha kuandikisha wapiga kura cha Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kibaoni wilayani Mlele Mei 25, 2015. Kushoto ni Mwandikishaji wapiga kura, Auxilia Gaspar. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akionyesho kitambulisho chake cha mpiga kura baada ya kujiandikisha katika. Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Katavi, Dkt Ibrahim Msengi na Kushoyo ni Mkurugenzi wa Tume ya...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo26 May
PINDA AJIANDIKISHA DAFTARI LA WAPIGA KURA
![nd1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/05/nd1.jpg)
![nd2](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/05/nd2.jpg)
10 years ago
MichuziMH. PINDA AJIANDIKISHA DAFTARI LA WAPIGA KURA
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-hs8fzdqqBjM/VO3Q2_JnCZI/AAAAAAADPFE/HNB_EVYre0A/s72-c/661.jpg)
WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AZINDUA UANDIKISHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA
![](http://2.bp.blogspot.com/-hs8fzdqqBjM/VO3Q2_JnCZI/AAAAAAADPFE/HNB_EVYre0A/s1600/661.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-f-Jjwai_oZc/VO3RV0SbydI/AAAAAAADPFc/LnieWMWEGns/s1600/06.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-SWQTv5HPkVE/VO3QziUVBJI/AAAAAAADPE0/rSZtM0FMjHM/s1600/03.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-wmcHe9PQ5co/VVzDbhXSi0I/AAAAAAAAcDA/9ANMMgP1H7s/s72-c/1.jpg)
NAPE AJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
![](http://4.bp.blogspot.com/-wmcHe9PQ5co/VVzDbhXSi0I/AAAAAAAAcDA/9ANMMgP1H7s/s640/1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-yJlcWJSR5VE/VVzDb7pD5oI/AAAAAAAAcDE/xkdZtvMjFwQ/s640/3.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-GaPxvOiUfA8/VVzDcR0DqMI/AAAAAAAAcC8/WzB6TDfqkHg/s640/5.jpg)
10 years ago
MichuziMBUNGE MBATIA AJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA WAPIGA KURA KIJIJINI KWAO KWAMARE JIMBONI VUNJO
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
10 years ago
Dewji Blog09 Jul
Zoezi la uboreshwaji daftari la wapigakura laendelea mkoani Pwani, Rais Jakaya Kikwete ajiandikisha kupiga kura kwa kutumia BVR kijijini Msoga
![](http://1.bp.blogspot.com/-fqx6KUK-GfE/VZvay-k9RdI/AAAAAAAHnkk/mdbvjlqUoUY/s640/unnamed%2B%252884%2529.jpg)
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akijiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura kwa kutumia mfumo mpya wa kielektoniki(Biometric Voters Register( BVR) katika kijiji cha Msoga,kata ya Msoga wilayani Bagamoyo jana.Kulia akiangalia kwa makini ni mwandikishaji msaidizi Bi.Happyness Thomas Misana na katikati ni Afisa TEHAMA kutoka ofisi Tume ya Taifa Uchaguzi Bi.Mariam Rajabu.Kushoto aliyesimama akishuhudia ni Mbunge wa Chalinze Ridhwani Kikwete.
![](http://4.bp.blogspot.com/-pSNrhvcekYU/VZvardPvU5I/AAAAAAAHnkI/feqVw7MiFDs/s1600/unnamed%2B%252885%2529.jpg)
Afisa TEHAMA kutoka ofisi ya Tume ya...
9 years ago
Dewji Blog25 Aug
Ufafanuzi kasoro za BVR na uwekaji wazi wa Daftari la awali la Wapiga kura nchini
Baadhi ya mashine za BVR pichani…
Uboreshaji wa Daftari la kudumu la Wapiga Kura kwa kutumia mfumo wa Biometric Voters Registration (BVR) ulikamilika tarehe 04/08/2015 katika Mikoa yote ya Tanzania Bara na Visiwani.
Baada ya kukamilika kwa zoezi la Uboreshaji Tume imekuwa ikichakata (processing) taarifa za Wapiga Kura ili kuweza kuandaa Daftari la Awali la Wapiga Kura, katika maandalizi hayo mifumo imeweza kugundua kasoro mbali mbali ambazo baadhi zimefanyiwa kazi na zingine zinaendelea...
11 years ago
Dewji Blog25 Jun
NEC yaanza uboreshaji wa Daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo mpya wa (BVR)
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) hapa nchini Jaji Mstaafu Damian Lubuva (katikati) akizungumza na waandishi wa habari jana, kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida, Liana Hassan na kushoto ni Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida Joseph Mchina.(PICHA ZOTE NA HILLARAY SHOO Mo Blog, SINGIDA).
Na Hillary Shoo, SINGIDA.
TUME ya Taifa ya Uchaguzi imeanza mchakato wa uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura,kwa kuwashirikisha kwa karibu waandishi wa habari hapa nchini.
Lengo la...
9 years ago
MichuziUFAFANUZI KWA KUHUSU KASORO ZA BVR NA UWEKAJI WAZI WA DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA