Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ufafanuzi kasoro za BVR na uwekaji wazi wa Daftari la awali la Wapiga kura nchini

bvra-kitBaadhi ya mashine za BVR  pichani…

Uboreshaji wa Daftari la kudumu la Wapiga Kura kwa kutumia mfumo wa Biometric Voters Registration (BVR) ulikamilika tarehe 04/08/2015 katika Mikoa yote ya Tanzania Bara na Visiwani.

Baada ya kukamilika kwa zoezi la Uboreshaji Tume imekuwa ikichakata (processing) taarifa za Wapiga Kura ili kuweza kuandaa Daftari la Awali la Wapiga Kura, katika maandalizi hayo mifumo imeweza kugundua kasoro mbali mbali ambazo baadhi zimefanyiwa kazi na zingine zinaendelea...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

UFAFANUZI KWA KUHUSU KASORO ZA BVR NA UWEKAJI WAZI WA DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA

Uboreshaji wa Daftari la kudumu la Wapiga Kura kwa kutumia mfumo wa Biometric Voters Registration (BVR) ulikamilika tarehe 04/08/2015 katika Mikoa yote ya Tanzania Bara na Visiwani.  Baada ya kukamilika kwa zoezi la Uboreshaji Tume imekuwa ikichakata (processing) taarifa za Wapiga Kura ili kuweza kuandaa Daftari la Awali la Wapiga Kura, katika maandalizi hayo mifumo imeweza kugundua kasoro mbali mbali ambazo baadhi zimefanyiwa kazi na zingine zinaendelea kufanyiwa kazi, kasoro hizo ni pamoja...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Uwekaji wazi wa daftari la awali la wapiga kura katika mikoa ya Unguja na Pemba

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI TAARIFA KWA UMMA UWEKAJI WAZI WA DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA KATIKA MIKOA YOTE YA UNGUJA NA PEMBA. Tume ya Taifa ya Uchaguzi inatarajia kuweka […]

The post Uwekaji wazi wa daftari la awali la wapiga kura katika mikoa ya Unguja na Pemba appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA: UWEKAJI WAZI WA DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA KATIKA MIKOA YOTE YA UNGUJA NA PEMBA

Tume ya Taifa ya Uchaguzi inatarajia kuweka Wazi Daftari la Awali la Wapiga Kura katika Mikoa yote ya Unguja na Pemba kuanzia tarehe 03/09/2015 hadi tarehe 07/09/2015 ili Umma uweze kupata nafasi ya kulikagua Daftari la Awali na kutoa taarifa za kufanyiwa marekebisho pale inapostahili.

 

9 years ago

Vijimambo

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UWEKAJI WAZI WA DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA KATIKA MIKOA YOTE YA UNGUJA NA PEMBA

Tume ya Taifa ya Uchaguzi inatarajia kuweka Wazi Daftari la Awali la Wapiga Kura katika Mikoa yote ya Unguja na Pemba kuanzia tarehe 03/09/2015 hadi tarehe 07/09/2015 ili Umma uweze kupata nafasi ya kulikagua Daftari la Awali na kutoa taarifa za kufanyiwa marekebisho pale inapostahili.

 

5 years ago

CCM Blog

UWEKAJI WAZI NA UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI KUANZA KESHO APRILI 17 KATIKA MIKOA 12


 Mwenyekiti wa NEC, Jajia mstaafu Semistocles Kaijage

                          Na Richard Mwaikenda

UWEKAJI wazi wa Daftari la Awali na Uboreshaji wa Daftari Wapiga Kura Awamu ya Pili, unaanza rasmi kesho Ijumaa 17 Aprili, 2020. na kukamilika Mei 4, 2020 kwa Nchi nzima. 
 Hayo yametangazwa hivi karibuni na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu, Semistocles Kaijage (pichani) wakati wa  mkutano na viongozi wa vyama vya siiasa na wadau wengine kwenye Ukumbi wa Mikutano wa...

 

5 years ago

Michuzi

UHAKIKI TAARIFA DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA WAANZA JIJINI DODOMA

 KIKONGWE wa miaka 100, Yusufu Alfonso Mkomwa akikabidhiwa kadi yake ya kupigia kura baada ya kuifanyia  uhakiki wa taarifa zake kwenye daftari la awalai la wapigakura na kurekebisha taarifa zake katika  Kituo cha uhakiki kilichopo Kata ya Viwandani jijini Dodoma jana. Anaemkabidhi kadi hiyo ni Mwandishi Msaidizi Queen Pius. (Picha na NEC). KIKONGWE wa miaka 100, Yusufu Alfonso Mkomwa akiweka saini katika kadi yake ya kupigia kura baada ya kufanya uhakiki wa taarifa zake kwenye daftari la...

 

10 years ago

GPL

MH. MIZENGO PINDA AJIANDIKISHA BVR DAFTARI LA WAPIGA KURA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kituo cha kuandikisha wapiga kura cha Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kibaoni wilayani Mlele Mei 25, 2015. Kushoto ni Mwandikishaji wapiga kura, Auxilia Gaspar.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akionyesho kitambulisho chake cha mpiga kura baada ya kujiandikisha katika. Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Katavi, Dkt Ibrahim Msengi na Kushoyo ni Mkurugenzi wa Tume ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani