Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NAPE AJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akitoa maelezo ya taarifa zake muhimu wakati wa kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura kwa Afisa Mwandikishaji Msaidizi Shaibu Chitala kwenye shule ya msingi Mbagala Majengo B,jimbo la Mtama mkoani LindiKatibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akichukuliwa alama za vidole wakati wa kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura kwenye shule ya msingi Mbagala Majengo B,jimbo la Mtama mkoani LindiKatibu wa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

SHILATU AHUISHA TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

Afisa Tarafa Mihambwe Emmanuel Shilatu ametumia haki yake kikatiba ya kujiandikisha kwa kuhuisha taarifa zake kwenye daftari la Kudumu la Mpiga Kura itakayompa fursa ya kidemokrasia ya kuchagua viongozi anaowataka kwenye uchaguzi mkuu wa Urais, Ubunge na Udiwani.

Afisa Tarafa Mihambwe, Emmanuel Shilatu akipigwa picha wakati wa kuhuisha taarifa zake kwenye daftari la Kudumu la Mpiga Kura Jana Mei 04, 2020.

 

10 years ago

Vijimambo

PINDA AJIANDIKISHA DAFTARI LA WAPIGA KURA

nd1Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijiiandikisha katika kituo cha kuandikisha wapiga kura cha Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kibaoni iwilayani Mlele Mei 25, 2015. Kushoto ni Mwandikishaji wapiga kura, Auxilia Gaspar.nd2Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akionyesho kitambulisho chake cha mpiga kura baada ya kujiandikisha katika kituo cha Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kibaoni i wilayani Mlelele Machi 25,2015. .Kulia ni Mkuu wa mkoa wa katavi, Dkt Ibrahim Msengi na Kushoyo ni Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya...

 

10 years ago

Michuzi

MH. PINDA AJIANDIKISHA DAFTARI LA WAPIGA KURA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijiandikisha katika kituo cha kuandikisha wapiga kura cha Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kibaoni wilayani Mlele Mei 25, 2015. Kushoto ni Mwandikishaji wapiga kura, Auxilia Gaspar. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akionyesho kitambulisho chake cha mpiga kura baada ya kujiandikisha katika kituo cha Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kibaoni wilayani Mlelele Machi 25,2015. Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Katavi, Dkt Ibrahim Msengi na Kushoyo ni Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya...

 

10 years ago

Michuzi

CHADEMA YAENDELEA KUHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA JIJINI MWANZA


 Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar Salum Mwalim akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika hivi karibuni mjini Magu, mkoani Mwanza, ikiwa ni sehemu ya mfululizo wa mikutano ya chama kuhamasisha wananchi kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura na kujiandaa kupiga kura uchaguzi mkuu Oktoba mwaka huu. Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lisu akihutubia mkutano wa hadhara ...

 

10 years ago

GPL

MH. MIZENGO PINDA AJIANDIKISHA BVR DAFTARI LA WAPIGA KURA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kituo cha kuandikisha wapiga kura cha Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kibaoni wilayani Mlele Mei 25, 2015. Kushoto ni Mwandikishaji wapiga kura, Auxilia Gaspar.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akionyesho kitambulisho chake cha mpiga kura baada ya kujiandikisha katika. Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Katavi, Dkt Ibrahim Msengi na Kushoyo ni Mkurugenzi wa Tume ya...

 

10 years ago

Michuzi

MBUNGE MBATIA AJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA WAPIGA KURA KIJIJINI KWAO KWAMARE JIMBONI VUNJO

Mwenyekiti wa NCCR-MAGEUZI Mhe. James  Mbatia akitia saini katika kifaa kimoja wapo kwa ajili ya kuweka kumbukumbu wakati wa kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura  katika kijiji cha Kwamare kata ya Kirua Vunjo Magharibi Jimbo la Vunjo.Mh Mbatia akiweka vidole gumba kwa ajili ya kuchukuliwa alama.Afisa uandikisha akimkabidhi Mh Mbatia kitambulisho chake mara baada ya kumaliza zoezi la uandikishaji.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani