Lowassa asema atamaliza umaskini kwa kutumia Rasilimali za nchi.
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Edward Lowasa anayeungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA, amesema iwapo atachaguliwa kushika wadhifa huo atatumia vyema raslimali za nchi zilizopo kupambana na umasikini.
Mhe Lowasa amesema hayo Singida na kusema kuwa haiwezekani Wataanzania wakaendelea kuwa masikini katika karne hii ya 21 wakati nchini yao imejaa utajiri wa rasilimali mbalimbali ikiwemo madini na wanyama pori.
Agenda yake kuu ilikuwa kuomba...
StarTV
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-TAqslYrb8lk/Xk0V8ll_meI/AAAAAAALeSA/RZBXYv0JZDY--yrwO8bR19t5e_RJrDjDACLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
JESHI LA MAGEREZA KUJITEGEMEA KWA KUTUMIA RASILIMALI ZAKE
MKUU wa Jeshi la Magereza nchini, Kamishna Jenerali Suleiman Mzee, amesema kuwa Jeshi hilo limeanza kuyafanyia kazi maagizo mbalimbali ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli la kuhakikisha linatekeleza mikakati ya kuanza kujitegemea ikiwemo kujitosheleza kwa chakula cha wafungwa magerezani kwa kutumia rasilimali zilizopo.
Amesema hatua hiyo inaanza mara moja kwani Jeshi hilo lina uwezo mkubwa wa kutumia rasilimali zake zilizopo ndani ya Jeshi ambazo zinaweza kuliwezesha...
9 years ago
Dewji Blog19 Oct
UNDP yasisitiza vita ya umaskini kwa kutumia mazingira
Mkurugenzi Msaidizi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) Tanzania, (Ushauri na Miradi), Amon Manyama akitoa maelezo kuhusu mradi wa PEI na salamu kutoka UNDP kwa washiriki wa mafunzo hayo hivi karibuni jijini Mwanza.
Na Mwandishi Wetu, Mwanza
MKURUGENZI Msaidizi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Amon Manyama, alisema vita dhidi ya umaskini inakuwa na maana kubwa kama inalinganishwa na mazingira.
Alisema kwamba umaskini wa kipato ambao umekuwa ukipiganwa sana...
10 years ago
Mwananchi09 Apr
Nchi inaibiwa kwa kutumia mfumo wa kukusanya kodi
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-J4Q91QIejus/Xmd_f1Z48FI/AAAAAAAAIZg/r3hbZfRDPUw9DGYGG6R1B6If3QC1hKF4ACLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200310_123009_204.jpg)
KALIST ASEMA CCM HAITATUMIA DOLA KUTAKA MADARAKA BALI DOLA KWA NI KUTUMIA KWA KUTUMIKIA WANANCHI
![](https://1.bp.blogspot.com/-J4Q91QIejus/Xmd_f1Z48FI/AAAAAAAAIZg/r3hbZfRDPUw9DGYGG6R1B6If3QC1hKF4ACLcBGAsYHQ/s640/IMG_20200310_123009_204.jpg)
Mstahiki Meya Mstaafu wa Jiji la Arusha Kalist Lazaro akiongea na vyombo vya habari leo leo jijini Arusha
Na Ahmed Mahmoud Arusha
CHAMAcha Mapinduzi,CCM, hakitatumia dola kubakia madarakani bali kitaitumia dola katika kuwatumikia na kuwahudumia wananchi kwa kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo na kuboresha huduma za jamii.
Hayo yameelezwa leo jijini Arusha kwenye ukumbi wa Hotel ya Arusha Palace, na aliyekuwa Meya wa Jijiji la Arusha,Kalisti Lazaro,alipokuwa akitolea ufafanuzi kauli ya...
11 years ago
Habarileo20 May
Rasilimali za nchi zachotwa kweupe
WAWEKEZAJI kutoka nje, wametajwa kugeuka mawakala wa kutorosha fedha nje ya uchumi wa Tanzania, kiasi cha mabilioni ya Dola za Marekani, ambayo yakibadilishwa, yanafikia matrilioni ya Shilingi. Fedha hizo zimekuwa zikiporwa nchini kutoka serikalini kwa maana ya kukwepa kodi na katika jamii, kupitia ununuzi wa bidhaa nje ya nchi, ambazo thamani yake huchakachuliwa kwa kuongezwa kinyume na thamani halisi.
10 years ago
Dewji Blog09 Jun
Waziri Nyalandu atangaza nia na kuchukua fomu, asema uwekezaji kwenye rasilimali umma ni muhimu
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu na mkewe Bi.Faraja Nyalandu wakiingia uwanja wa Namfua Mjini Singida kabla ya kuhutubia wananchi kwa kutangaza nia ya kugombea Urais.
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu akiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM Wilaya wa Singida, Barnabas Hanje kabla kutangaza nia ya kugombea urais wa Tanzania kwenye mkutano uliofanyika uwanja wa Namfua Mjini Singida.
Bi. Faraja Nyalandu akiongea na wananchi kabla ya hotuba ya mumewe Mhe. Lazaro...
10 years ago
Mwananchi21 Aug
Inatia aibu kuona nchi ina rasilimali lukuki lakini maskini
10 years ago
Mwananchi18 Jun
Hizi ndizo ndoto za waowania urais za kuiondoa nchi kwenye umaskini