Waziri Nyalandu atangaza nia na kuchukua fomu, asema uwekezaji kwenye rasilimali umma ni muhimu
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu na mkewe Bi.Faraja Nyalandu wakiingia uwanja wa Namfua Mjini Singida kabla ya kuhutubia wananchi kwa kutangaza nia ya kugombea Urais.
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu akiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM Wilaya wa Singida, Barnabas Hanje kabla kutangaza nia ya kugombea urais wa Tanzania kwenye mkutano uliofanyika uwanja wa Namfua Mjini Singida.
Bi. Faraja Nyalandu akiongea na wananchi kabla ya hotuba ya mumewe Mhe. Lazaro...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo07 Jun
Nyalandu atangaza nia, kuchukua fomu leo
MAKADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wameendelea kupigana vikumbo katika kutangaza nia na kuchukua fomu kuwania uteuzi wa kugombea urais wa Tanzania, akiwemo Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu aliyetangaza nia jana mkoani Singida.
10 years ago
Habarileo03 Jun
Nyalandu kuchukua fomu Juni 8
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu atahutubia wananchi mkoani Singida mwishoni mwa wiki hii, ikiwa ndio mwanzo wa kwenda kuchukua fomu za kugombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
10 years ago
MichuziNYALANDU ATANGAZA NIA KUGOMBEA URAIS
10 years ago
MichuziNYALANDU KUCHUKUA FOMU ZA URAIS JUNI 7 MJINI DODOMA
10 years ago
Michuzi29 Dec
NYALANDU ATANGAZA RASMI NIA YA KUWANIA URAIS 2015
theNkoromo Blog, SingidaMbunge wa Singida Kaskazini, Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu ametangaza rasmi kuwania Urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu mwakani.
Amesema amechukua uamuzi huo baada ya kuona kwamba anao uwezo wa kuiongoza Tanzania, katika harakati za kuwafikisha kwenye maendeleo endelevu wanayotaka Watanzania.
Amesema, yuko tayari kushindanishwa na Watanzania wengine watakaoona kuwa wanafaa kuwa Rais, lakini akisema kwanza kila atakayejitokeza itabidi kazi zake...
10 years ago
GPL
MAKONGORO NYERERE ATANGAZA NIA, ASEMA ATAIOKOA CCM NA RUSHWA
10 years ago
Vijimambo05 Jun
Ngeleja atangaza nia ya kuwania Urais asema" Nitapambana na maadui sita"

Mwanza. Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja ametangaza nia ya kuwania urais kupitia CCM, huku akiahidi kupambana na mambo sita aliyoyaita maadui wakuu wa nchi ambayo ni umaskini, ujinga, maradhi, rushwa, ufisadi na mmomonyoko wa maadili.Akitangaza nia hiyo kwenye Ukumbi wa Benki...
10 years ago
Vijimambo
WAZIRI MEMBE ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS - LINDI LEO


10 years ago
Dewji Blog07 Jun
Waziri Membe atangaza nia ya kugombea urais — Lindi leo
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akizungumza na wana CCM na wakazi wa Lindi katika Viwanja vya Ofisi ya CCM Mkoa jana, wakati akitangaza nia ya kugombea Urais wa Tanzania leo kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu ujao wa Mwezi Oktoba.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe na mkewe Dorcas wakilakiwa na wana CCM na wakazi wa Lindi alipowasili katika...