Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nyalandu atangaza nia, kuchukua fomu leo

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu.MAKADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wameendelea kupigana vikumbo katika kutangaza nia na kuchukua fomu kuwania uteuzi wa kugombea urais wa Tanzania, akiwemo Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu aliyetangaza nia jana mkoani Singida.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Waziri Nyalandu atangaza nia na kuchukua fomu, asema uwekezaji kwenye rasilimali umma ni muhimu

IMG_0713

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu na mkewe Bi.Faraja Nyalandu wakiingia uwanja wa Namfua Mjini Singida kabla ya kuhutubia wananchi kwa kutangaza nia ya kugombea Urais.

IMG_0750

IMG_0756

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu akiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM Wilaya wa Singida, Barnabas Hanje kabla kutangaza nia ya kugombea urais wa Tanzania kwenye mkutano uliofanyika uwanja wa Namfua Mjini Singida.

IMG_0817

Bi. Faraja Nyalandu akiongea na wananchi kabla ya hotuba ya mumewe Mhe. Lazaro...

 

10 years ago

Habarileo

Nyalandu kuchukua fomu Juni 8

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu.WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu atahutubia wananchi mkoani Singida mwishoni mwa wiki hii, ikiwa ndio mwanzo wa kwenda kuchukua fomu za kugombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

 

10 years ago

Michuzi

NYALANDU ATANGAZA NIA KUGOMBEA URAIS

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akizungumza na wananchi mkoani Singida baada ya kutangaza nia ya kugombea nafasi ya urais kwenye Uwanja wa Namfua leo. (Picha na Loveness Bernard)
Umati wa watu ukimsikiliza Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu baada ya kutangaza nia ya kugombea nafasi ya urais kwenye Uwanja wa Namfua mkoani Singida leo. (Picha na Loveness Bernard) Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu (kushoto) akiwa na mkewe Faraja kabla ya kuzungumza na...

 

10 years ago

Michuzi

NYALANDU KUCHUKUA FOMU ZA URAIS JUNI 7 MJINI DODOMA

Waziri wa mali asili  na utalii, Lazaro Nyarandu akiwa na waumini mbalimbali baada ya Ibada ya jumapili Jijini Arusha katika Kanisa la KKKT  Dayosisi ya Mjini Kati ambapo Waziri Nyarandu alitumia nafasi hiyo kutangaza rasmi siku atakayochukua fomu ya kuwania nafasi ya kuteuliwa kupeperusha bendera ya kuwania Urais kupitia chama cha Mpindunzi .Waziri wa maliasili na utalii, Lazaro Nyarandu akibadilishana mawazo na Kada wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, James Ole Milya baada ya...

 

10 years ago

Michuzi

NYALANDU ATANGAZA RASMI NIA YA KUWANIA URAIS 2015


theNkoromo Blog, SingidaMbunge wa Singida Kaskazini, Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu ametangaza rasmi kuwania Urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu mwakani.
Amesema amechukua uamuzi huo baada ya kuona kwamba anao uwezo wa kuiongoza Tanzania, katika harakati za kuwafikisha kwenye maendeleo endelevu wanayotaka Watanzania.
Amesema, yuko tayari kushindanishwa na Watanzania wengine watakaoona kuwa wanafaa kuwa Rais, lakini akisema kwanza kila atakayejitokeza itabidi kazi zake...

 

9 years ago

Mwananchi

ACT-Wazalendo kuchukua fomu urais leo

Mgombea urais wa Chama cha ACT- Wazalendo anatarajiwa kujulikana leo pale atakapojitokeza kuchukua fomu ya kuomba kuwania nafasi hiyo katika Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

 

10 years ago

Michuzi

Makamba Kuchukua Fomu ya Urais Leo Mjini Dodoma

 MBUNGE wa jimbo la Bumbuli,mjumbe wa NEC na Naibu Waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Teknologia, January Makamba Baada ya Kutangaza nia ya kugombea nafasi ya Urais katika ukumbi wa mikunano wa Mlimani City jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Leo saa tano atachukua fomu ya kugombea urais Urais mwaka 2015  katika ofisi za makao makuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Mjini Dodoma.

 

10 years ago

Michuzi

Profesa Muhongo atangaza nia leo mjini Musoma

WAZIRI wa zamani wa Nishati na Madini Sospeter Muhongo, ametangaza nia rasmi ya kuwaomba Wana CCM kumteua kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwezi Oktoba, huku akisema ni yeye pekee mwenye uwezo wa kuikwamua nchi katika hali mbaya ya umasikini na ukosefu wa wataalamu, hali inayoifanya nchi ishindwe kupiga hatua.
Pamoja na mambo mengine, Muhongo alitumia muda mwingi kutoa takwimu hali ya umasikini na utajiri kwa wananchi wa Tanzania, bila kusahau baadhi ya nchi ambazo zimeweza...

 

10 years ago

Dewji Blog

January Makamba kuchukua fomu ya Urais leo mjini Dodoma

IMG_6335

 MBUNGE wa jimbo la Bumbuli, mjumbe wa NEC na Naibu Waziri wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba baada ya kutangaza nia ya kugombea nafasi ya Urais katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani