Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Profesa Muhongo atangaza nia leo mjini Musoma

WAZIRI wa zamani wa Nishati na Madini Sospeter Muhongo, ametangaza nia rasmi ya kuwaomba Wana CCM kumteua kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwezi Oktoba, huku akisema ni yeye pekee mwenye uwezo wa kuikwamua nchi katika hali mbaya ya umasikini na ukosefu wa wataalamu, hali inayoifanya nchi ishindwe kupiga hatua.
Pamoja na mambo mengine, Muhongo alitumia muda mwingi kutoa takwimu hali ya umasikini na utajiri kwa wananchi wa Tanzania, bila kusahau baadhi ya nchi ambazo zimeweza...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

PROF. MUHONGO ATANGAZA NIA YA KUWANIA URAIS

ALIYEKUWA Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (pichani juu) naye ametangaza nia ya kuwania Urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwa kwenye Ukumbi wa Chuo Huria huko Musoma mkoani Mara jioni hii. Prof. Muhongo amesema hawezi kutoa ahadi ya mishahara wakati hajakuza uchumi, hawezi kutoa ahadi ya kujenge shule wakati hajakuza uchumi hivyo tukuze kwanza uchumi kama ulivyo kauli mbiu yake ya Tukuze Uchumi,...

 

10 years ago

Vijimambo

Profesa Sospeter Muhongo kutangaza nia ya kuombwa kugombea urais wa Jamahuri ya Muungano


Leo ni zamu ya Profesa Sospeter Muhongo kutangaza nia ya kuombwa kugombea urais wa Jamahuri ya Muungano wa Tanzania, kurithi mikoba ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete. Profesa Muhongo anatangaza nia yake leo Mjini Musoma, kwenye Ukumbi wa Open University Hall, kuanzia saa 10 jioni.

 

10 years ago

Michuzi

Priscus Tarimo atangaza rasmi nia ya kugombea udiwani jimbo la Moshi mjini

Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Priscus Tarimo akizungumza wakati wa mkutano wake wa na wakazi wa kata ya Kilimanjaro, katika Manispaa ya Moshi akieleza mambo mbalimbali aliyotekeleza wakati wa kipindi chake cha Udiwani na kutumia nafasi hiyo kutangaza nia ya kugombea Ubunge katika jimbo la Moshi mjini.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

DAVIS MOSHA ATANGAZA RASMI NIA YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MOSHI MJINI

Mtia nia wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Moshi mjini,Davis Mosha akisalimiana na wakazi wa Moshi waliofika katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Mashujaa.Davis Mosha akizungumza na waandishi wa habari marabaada ya mkutano wake wa kutangaza nia.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Michuzi

Pof.Muhongo kutangaza nia leo.

Leo ni zamu ya Profesa Sospeter Muhongo kutangaza nia ya kuombwa kugombea urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, kurithi mikoba ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete. Profesa Muhongo anatangaza nia yake leo Mjini Musoma, kwenye Ukumbi wa Open University Hall, kuanzia saa 10 jioni.

 

10 years ago

Vijimambo

DAVIS MOSHA ATANGAZA RASMI NIA YA KUGOMBEA UBUNGE KATIKA JIMBO LA MOSHI MJINI.

Baadhi ya wakazi wa mji wa Moshi mjini wakiwa katika uwanja wa Mashujaa katika mkutano wa hadhara ulioitishwa na mtangaza nia wa nafasi ya Ubunge wa jimbo la Moshi mjini ,Davis Mosha.Mtangaza nia ya Ubunge katika jimbo la Moshi mjini,Davis Mosha ,akiwa na meneja kampeni wake Voctor (kushoto kwake pamoja na Goodluck Moshi.Baadhi ya makada waliofika katika uwanja huo.
Msanii wa filamu Tanzania Stephen Mengere maarufu kama Steve Nyerere alikuwa ni mmoja wa makada wa chama hicho waliofika kutoa...

 

10 years ago

Vijimambo

MFANYABIASHARA JUMA RAIBU ATANGAZA NIA KUGOMBEA UDIWANI KATA YA PASUA MJINI MOSHI

Umati mkubwa wa wanachi katika kata ya Pasua wakilmsikiliza mfanyabiashara Juma Raibu (hayupo pichani wakati akitangaza nia ya kuwania nafasi ya Udiwani katika kata ya Pasua.Mfanyabiashara Juma Raibu akifutilia kwa makini wahutibiaji wa awali wakati wa mkutano wa hadhara ambao uliandaliwa kwa ajili ya kutangaza nia ya kugombea nafasi ya Udiwani katika kata ya Pasua.
Baadhi ya wananchi waliohudhulia mkutano huo.Baadhi ya wananchama wa vyama vya upinzani waliojitokeza kurudisha fomu wakati wa...

 

10 years ago

Habarileo

Muhongo kutangaza nia kuwania urais leo

Profesa Sospter MuhongoWAKATI makada watano wakiwa wamejitokeza kutangaza nia ya kuwania urais kwa tiketi ya chama tawala, CCM, leo ni zamu ya Waziri wa Nishati na Madini aliyejiuzulu, Profesa Sospter Muhongo.

 

10 years ago

Dewji Blog

Frederick Fussi atangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Songea Mjini kwa tiketi ya Chadema

unnamed

Mgombea ubunge jimbo la Songea mjini kwa tiketi ya Chama cha Maendeleo (CHADEMA), Frederick Fussi akisisitiza jambo katika mkutano wake na waandishi habari.

OFISA  Mshauri  wa masuala ya Uchumi, Biashara na Uongozi Frederick Fussi ambaye pia ni kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ametangaza nia ya kugombea ubunge wa jimbo la Songea Mjini kupitia Chama hicho huku akielezea vipao mbele ambavyo atavitekeleza endapo akipewa ridha kutoka kwa wananchi.

Akizungumza na waandishi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani