Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lowassa: Mambo yatakuwa bambam

0D6A2206*Kingunge asema yeye ni babu wa vijana Tanzania

NA FREDY AZZAH, BIHARAMLO

MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, amesema Serikali atakayoiunda baada ya kuingia madarakani mambo yake yatakuwa mazuri.

Lowassa ambaye anaungwa mkono na vyama vinne vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), aliyasema hayo jana wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya soko jipya mjini Biharamulo, Mkoa wa Kagera.

“Naomba kura hata kama wewe ni CCM,...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAMBO 5 YALIYOMPONZA LOWASSA

TAYARI Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemtangaza Waziri wa Ujenzi, John Pombe Joseph Magufuli kuwa mgombea urais mwaka huu huku Samia Suluhu Hassan akiwa mgombea mwenza, lakini bado jina la mgombea aliyekatwa, Edward Lowassa linazungumzika, safari hii yakibainishwa mambo matano yanayoolezwa ndiyo yalichangia kukatwa kwake. Soma zaidi hapa ===>http://bit.ly/1M37BXl ...

 

10 years ago

Vijimambo

MAMBO 5 YALIYOMPONZ LOWASSA

Waziri Mkuu wa zamani na aliyekuwa mtangaza nia ya kugombea urais wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania, Edward Lowassa akipokea fomu zilizosainiwa na wadhamini wake.
TAYARI Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemtangaza Waziri wa Ujenzi, John Pombe Joseph Magufuli kuwa mgombea urais mwaka huu huku Samia Suluhu Hassan akiwa mgombea mwenza, lakini bado jina la mgombea aliyekatwa, Edward Lowassa linazungumzika, safari hii yakibainishwa mambo matano yanayoolezwa ndiyo yalichangia kukatwa...

 

9 years ago

GPL

MAMBO 5 LOWASSA AKIANGUKA

Na Mwandishi Wetu
WAKATI siku 32 zikiwa mbele kuufikia uchaguzi mkuu Oktoba 25, mwaka huu, tegemeo kuu la mgombea urais wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) anayeungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa ni kutokea kwa mambo matano endapo ataanguka kwenye kinyang’anyiro hicho, Uwazi limechimba.  Mgombea urais wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Edward Lowassa. Kwa...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI HASUNGA AWAHAKIKISHIA WATANZANIA MAVUNO YA MAZAO YATAKUWA YA KUTOSHA

Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga akikagua shughuli za maendeleo wakati akiwa katika ziara ya kikazi Mkoani Songwe tarehe 11 Aprili 2020. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga akizungumza na Mkuu wa uendeshaji wa kampuni ya PCT Ndg John Power wakati akikagua eneo maalumu lililopemndekezwa na kampuni hiyo kwa ajili ya uzalishaji wa mbegu za Pareto wakati akiwa katika ziara ya kikazi Mkoani Songwe tarehe 11 Aprili 2020.Waziri wa Kilimo Mhe Japhet...

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa: Mambo manne ya mabadiliko

Mgombea urais wa Chadema, anayeungwa mkono na Ukawa, Edward Lowassa ametaja mambo manne atakayoshughulikia endapo wananchi watamchagua kuongoza Taifa akisema mambo hayo ndiyo msingi wa mabadiliko.

 

10 years ago

CloudsFM

Manji Atangaza Kuwa Atajiuzulu yanga iwapo Aliyosema Mengi yatakuwa ni Kweli

Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji amesema atajiuzulu wadhifa wa uenyekiti iwapo itabainika kuwa kweli yeye ni fisadi, mwizi na muongo kama ambavyo Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi amekuwa akisukuma mashambulizi dhidi yake.

Manji amezungumza na waandishi wa habari kwenye makao makuu ya Yanga, jana na kueleza hayo huku akisisitiza kumtaka Mengi ajitokeze na wakutane kwa ajili ya kufanya mdahalo wa wazi ambao utadhibitisha kuhusiana na tuhuma hizo.

Alisema kuendelea...

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa: Kwa siku 100 nitafanya mambo 13

Mgombea urais wa Chadema na Ukawa, Edward Lowassa ametaja mambo 13 atakayoyafanya ndani ya siku 100 iwapo atachaguliwa kuwa Rais, huku akisema “atawakata kilimilimi” wanaombeza kuwa hawezi kuondoa umaskini wa wananchi.

 

9 years ago

Mwananchi

MCHANGO WA MAWAZO : Lowassa ni yuleyule na mambo ni yaleyale

Katika kushangaza, kuchekesha na kurogwa huku, tunaweza kweli kupiga hatua ya maendeleo? Tunaweza kuishi ulimwengu wa sayansi na teknolojia; ulimwengu ambao maisha si ya kubahatisha na kupiga ramli, bali ya uhakika?

 

10 years ago

GPL

MH. LOWASSA AMTEMBELEA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI WA ZAMANI, MH. ALI AMEIR MOHAMED

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (kushoto) akisalimiana na Waziri waMambo ya Ndani wa zamani,Mh. Ali Ameir Mohamed wakati alipomtembelea nyumbani kwake eneo la Kichaviani, Jimbo la Donge, Zanzibar.Mh. Lowassa yuko visiwani Zanzibar kwa mapumziko ya Krismasi. Waziri Mkuu…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani