Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lowassa: Msiogope

Pg 1 lowassaNA MAREGESI PAUL, NJOMBE

MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) chini ya mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa, amewataka Watanzania wasiogope kufanya mabadiliko ya uongozi kwa kuwa hata Biblia inasisitiza watu wasiogope.

Amesema ili mabadiliko hayo yafanikiwe, Watanzania wanatakiwa kujitokeza kwa wingi Oktoba 25, mwaka huu na kumpigia kura za ndiyo pamoja na wagombea ubunge na udiwani kupitia Ukawa.

Lowassa aliyasema hayo jana katika mji wa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Msiogope kustaafu-ushauri

Watumishi nchini wameshauriwa kutoogopa muda wa kustaafu na badala yake wajiandae mapema kwenye suala hilo ili kuandaa maisha yao ya baadaye.

 

11 years ago

GPL

CHIPUKIZI MSIOGOPE KUTONGOZWA- DAYNA

Stori: Andrew Carlos MKALI wa wimbo wa Mafungu ya Nyanya, Mwanaisha Said ‘Dyana’ amewataka wasanii wa kike chipukizi kuacha kuogopa kutongozwa kwani uamuzi unabaki kuwa kwao. Mwanaisha Said Nyange ‘Dayna’.
“Namshukuru Mungu mpaka hapa nilipofikia. Vikwanzo ni vingi hususan kwa waimbaji wa kike lakini nawashangaa wale ambao wanakata tamaa ya kuendelea kuimba kisa kutongozwa. Wasiogope,”...

 

10 years ago

Michuzi

Wanamuziki wa Bongo Msiogope Kutoa kazi Zenu nje ya nchi, Mnakubalika! - Ras Makunja.

 Katika mahojiano ya Ras Makunja kiongozi wa Ngoma Africa band iliyopo kule nchini ujerumani na Zenj FM katika kipindi maalumu cha muziki wa dansi kinaongozwa na mtangazaji mahiri bwana Mustapha Mussa (pichani kulia) siku ya Jumamosi 25 April 2015.
Mwanamuziki Ebrahim Makunja aka kamanda Ras Makunja akihojiwa kwa njia ya simu alikuwa akijibu maswali ambayo majibu yake yamesikika kama ni pumzi mpya ya uhai wa muziki wa dansi Tanzania na miziki mingine kama vile taarabu na muziki wa kizazi...

 

10 years ago

Vijimambo

Lowassa ni mbinafsi “Watanzania mnatakiwa kufahamu kuwa mnapokutana na Lowassa, Ninyi sio kitu bali kitu ni Lowassa,”


HAMFREY POLEPOLE AMGALAGAZA VIBAYA MCHUNGAJI MSIGWA KWENYE MDAHARO Hamfrey Polepole na Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa wamekabana kwa hoja kali kuhusu uamuzi wa Chadema na Ukawa kwa ujumla kumpokea Edward Lowassa na kumpa nafasi ya kugombea Urais.Polepole na Msigwa walikutana jana katika kipindi cha ‘Mada Moto’ kinachorushwa na kituo cha runinga cha Chanel Ten kujadili mada iliyotajwa kama ‘Lowassa Ndani ya CCM’.Polepole alionesha msimamo wake wa kumkataa Edward Lowassa kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani