Msiogope kustaafu-ushauri
Watumishi nchini wameshauriwa kutoogopa muda wa kustaafu na badala yake wajiandae mapema kwenye suala hilo ili kuandaa maisha yao ya baadaye.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania01 Sep
Lowassa: Msiogope
NA MAREGESI PAUL, NJOMBE
MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) chini ya mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa, amewataka Watanzania wasiogope kufanya mabadiliko ya uongozi kwa kuwa hata Biblia inasisitiza watu wasiogope.
Amesema ili mabadiliko hayo yafanikiwe, Watanzania wanatakiwa kujitokeza kwa wingi Oktoba 25, mwaka huu na kumpigia kura za ndiyo pamoja na wagombea ubunge na udiwani kupitia Ukawa.
Lowassa aliyasema hayo jana katika mji wa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KfEqIWZTt63B9e7O0OqJBmOzOf*D35AF*A0kShnmtIcTZQOWXbF*6kUYfkifWVcfcjIwv0nL4OjYPUw77N4szRmQA79GpO1p/dayna.jpg?width=650)
CHIPUKIZI MSIOGOPE KUTONGOZWA- DAYNA
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-9noH3J7jTXw/VTwVjqMTocI/AAAAAAAHTTE/BJzaENDXpV0/s72-c/unnamed%2B(12).jpg)
Wanamuziki wa Bongo Msiogope Kutoa kazi Zenu nje ya nchi, Mnakubalika! - Ras Makunja.
![](http://3.bp.blogspot.com/-9noH3J7jTXw/VTwVjqMTocI/AAAAAAAHTTE/BJzaENDXpV0/s1600/unnamed%2B(12).jpg)
Mwanamuziki Ebrahim Makunja aka kamanda Ras Makunja akihojiwa kwa njia ya simu alikuwa akijibu maswali ambayo majibu yake yamesikika kama ni pumzi mpya ya uhai wa muziki wa dansi Tanzania na miziki mingine kama vile taarabu na muziki wa kizazi...
9 years ago
Bongo Movies28 Sep
Frank Kustaafu Filamu
Staa mkongwe wa bongo Movies, Mohammed Mwikongwi ‘Frank’ amesema atastaafu fani ya uchezaji wa filamu endapo atashinda kiti cha ubunge cha jimbo la Segerea, Dar es Salaam katika muchaguzi mkuu wa mwezi ujao.
‘Frank’ ambaye anagombea kiti hicho kwa tiketi ya ACT alisema akishinda hatojihusisha na filamu kwani hatowezakufanya mambo mawilikwa wakati mmoja.
Frank ni mmoja wa wasanii wawili wa filamu wanaogombea Ubunge akiwemo ‘Kingwendu’ anayewania ubunge kwa tiketi ya CUF huko...
9 years ago
Habarileo08 Dec
Canavaro kustaafu soka
NAHODHA na beki wa kati wa timu ya Taifa, Nadir Haroub au maarufu kama Canavaro amesema kuwa atastaafu kuichezea timu hiyo baada ya miaka mitatu, licha ya maneno kuwa kiwango chake kimeshuka au amezeeka.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/p8dNfbTfHuDc5QX4F1e0QecHqrFsqBkHrebEXi*h32zdrIRtyAYvE9PbZBezqCrsIPNAp8xMDT9PNHB2fUX-ki4A6IbzRbiy/dtyytfyty.gif)
Mwaikimba: Sifikirii kustaafu
9 years ago
Bongo507 Oct
Pacquiao kustaafu masumbwi mwakani
11 years ago
BBCSwahili25 Jul
Jason Dunford atangaza kustaafu
9 years ago
Mtanzania05 Oct
Wenger hana mpango wa kustaafu
LONDON, ENGLAND
KOCHA wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger, amesisitiza kuwa mpaka sasa hajapanga tarehe rasmi ya kustaafu kufundisha soka.
Wenger amesema bado anaamini anaweza kufanya makubwa kwa klabu ya Arsenal hasa msimu huu wa Ligi Kuu nchini England huku akiwa na matumaini makubwa ya kuchukua ubingwa.
Kocha huyo mwenye umri wa miaka 65, amekuwa na furaha ya kufikisha miaka 19 ya kuifundisha klabu ya Arsenal, hata hivyo mashabiki wa klabu hiyo walianza kumchoka kutokana na maendeleo...