Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lowassa: Msitake sheria za kuwafunga jela waandishi tu

Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ameitaka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kuzungumza na wadau wake na kuchukua maoni yao ili muswada wa sheria mpya wa vyombo vya habari usaidie kutatua mgogoro baina yake na vyombo vya habari.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Waandishi wa Al Jazeera miaka 3 Jela

Mahakama nchini Misri imewahukumu waandishi watatu wa kituo cha runinga cha Al jazeera miaka mitatu jela

 

11 years ago

BBCSwahili

Waandishi wa Al Jazeera wafungwa Jela

Mahakama nchini Misri imewahukumu jela wandishi 3 wa shirika la habari la Al Jazeera .

 

10 years ago

Mwananchi

Bunge lapitisha muswada, sasa waandishi kufungwa jela ikiwa...

>Mvutano mkali uliibuka jana bungeni wakati Bunge lilipokaa kama kamati kupitisha Muswada wa Takwimu wa mwaka 2013, baada ya wabunge kuupinga. Muswada huo una kipengele kinachotoa adhabu ya kifungo cha miaka mitatu jela na faini isiyopungua Sh10 milioni kwa mtu au chombo cha habari kitakachofanya makosa ya kutoa takwimu zisizokuwa sahihi.

 

5 years ago

Michuzi

Waandishi zingatieni maadili, sheria


Na. Vero Ignatus

CHAMA cha Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari Tanzania(JOWUTA) kimesisitiza umuhimu wa waandishi wa habari nchini kuendelea kuzingatia maadili, kanuni na sheria katika utekelezaji wa majukumu yao katika kipindi hiki cha mapambano dhidi ya janga la ugonjwa wa homa kali ya mapafu COVID19.

Akitoa salamu za maadhimisho ya siku ya Uhuru wa Habari Duniani leo, Mwenyekiti wa JOWUTA, Claud Gwandu alisema uhuru wa habari, maadili, haki, usawa ni nguzo muhimu za kuzingatiwa na wanahabari...

 

11 years ago

Michuzi

Waandishi wa Sheria mbioni kunolewa zaidi

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Angellah Jasmine Kairuki akiagana na Naibu Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Maendeleo (UNDP) Bi. Mandisa Mashologu (kulia) alipomtembelea Naibu Waziri ofisini kwake, Mtaa wa Mkwepu, jijini Dar es Salaam leo (Jumatatu, Mei 19, 2014). Katikati ni Mkurugenzi Mkazi wa UNDP Bw. Philippe Poinsot. Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Angellah Jasmine Kairuki (kushoto) akimsikiliza Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa...

 

10 years ago

Vijimambo

9 years ago

Vijimambo

WAANDISHI WA HABARI WAELIMISHWA JUU YA SHERIA NA MAKOSA YA MITANDAO

 Afisa Sheria wa Wizara ya Mawasiliano, Eunice Masigati akizunzungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na sheria za makosa ya mitandao, ambapo sheria hii itatumia Tanzania Bara na Tanzania Zanzibar wakati wa Tamasha la mtandao wa wanawake na katiba na uchumi linaloendela TGNP jijini Dar es Salaam.  Afisa Mawasiliano wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Melkizdeck Karol akiwaelimisha waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya usalama wa sheria za mitandao...

 

9 years ago

Michuzi

WAANDISHI WA HABARI WAELIMISHWA JUU YA SHERIA ZA MAKOSA YA MITANDAO

 Afisa Sheria wa Wizara ya Mawasiliano, Eunice Masigati akizunzungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na sheria za makosa ya mitandao, ambapo sheria hii itatumia Tanzania Bara na Tanzania Zanzibar wakati wa Tamasha la mtandao wa wanawake na katiba na uchumi linaloendela TGNP jijini Dar es Salaam.  Afisa Mawasiliano wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Melkizdeck Karol akiwaelimisha waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya usalama wa sheria za mitandao...

 

11 years ago

Habarileo

Waandishi wajadili rasimu ya Sheria vyombo vya habari

WAANDISHI wa habari wametakiwa kutekeleza majukumu yao kwa kujiamini kwa lengo la kuelimisha umma matukio mbalimbali yanayotokea kila siku kwa usahihi mkubwa. Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Tume ya kurekebisha sheria, Jaji Bakari Mshibe wakati akifungua mkutano wa waandishi wa habari uliojadili rasimu ya sheria ya vyombo vya habari.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani