Lowassa na kaulimbiu ya mabadiliko
Ilikuwa miaka, mwaka, miezi na sasa zimesalia siku chache kabla ya mgombea urais kwa tiketi ya Chadema na Ukawa, Edward Lowassa kujua hatima ya “Safari ya Matumaini†aliyoianza takriban miaka 20 iliyopita.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi24 Oct
Lowassa: Mambo manne ya mabadiliko
Mgombea urais wa Chadema, anayeungwa mkono na Ukawa, Edward Lowassa ametaja mambo manne atakayoshughulikia endapo wananchi watamchagua kuongoza Taifa akisema mambo hayo ndiyo msingi wa mabadiliko.
9 years ago
Mwananchi28 Aug
Lowassa: Wanawake nguzo ya mabadiliko
Mgombea urais wa Ukawa, Edward Lowassa amesema mabadiliko katika Taifa hili ni jambo la lazima na linalohitaji nguvu ya wanawake ili kulifanikisha kwa maendeleo ya Watanzania wote.
10 years ago
Mwananchi21 Jun
Lowassa: Mimi ndiyo nitaleta mabadiliko CCM
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa jana alisema kuwa muda wa mabadiliko aliyotabiri Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere ni sasa na kwamba yeye ndiye anayeweza kuyaongoza.
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/maxresdefault.jpg?width=650)
CCM; HUU SI WAKATI WA KUMSEMA LOWASSA NI WA MABADILIKO
RAIS wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwalimu Julius Nyerere aliwahi kuwaambia wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa, wananchi wanataka mabadiliko, akasema wasipoyapata ndani ya CCM watayatafuta nje ya CCM. Maneno haya ya Mwalimu ni nguzo ya CCM, kwamba uhai wa chama hicho hautatokana tena na ukongwe wake bali mfumo wa mabadiliko ambao rais wa kwanza aliuona kuwa ndiyo kiu ya wananchi wengi hivi sasa. Kiu ya...
11 years ago
Mwananchi14 Jul
Kaulimbiu zinahamasisha kilimo-Chiza
Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Christopher Chiza amesema kaulimbiu zinazotolewa kuhusu kilimo, zinasaidia wananchi kujiingiza kwenye sekta hiyo.
11 years ago
Tanzania Daima01 Aug
Walimu Chunya wapinga kaulimbiu ya serikali
WALIMU wilayani Chunya mkoani Mbeya, wamepinga kaulimbiu ya serikali ya Matokeo Makubwa Sasa (Big Results Now – BRN), kwa madai kuwa serikali haiwathamini. Wakizungumza na Tanzania Daima kwa nyakati tofauti...
11 years ago
Mwananchi26 Jan
Lini tutaona kaulimbiu ya maana kama vile ULEVI KWANZA?
Ndiyo. Tumezoea sana kuimba Kilimo Kwanza, Elimu Kwanza, matokeo ya ajabu kwanza, bila kutambua ni akina nani wanaosukuma gurudumu la maendeleo, bila hata kudai kutambuliwa.
9 years ago
Dewji Blog12 Sep
Mabadiliko boraa ndiyo wanainchi wanayohitaji na sio bora mabadiliko-Dkt Magufuli
![](http://2.bp.blogspot.com/-UwLK6fCowmI/VfMYWqj8AHI/AAAAAAAC-9U/RvDXxyZyNzs/s640/_MG_5213.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-V3NXh4LQFcI/VfMYKjOzTtI/AAAAAAAC-9E/NPLO1xXAxGE/s640/_MG_5242.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-UwLK6fCowmI/VfMYWqj8AHI/AAAAAAAC-9U/RvDXxyZyNzs/s72-c/_MG_5213.jpg)
DKT MAGUFULI ALIVYOITEKA MUSOMA, ASEMA MABADILIKO BORA NDIYO WANAINCHI WANAYOHITAJI NA SIO BORA MABADILIKO
![](http://2.bp.blogspot.com/-UwLK6fCowmI/VfMYWqj8AHI/AAAAAAAC-9U/RvDXxyZyNzs/s640/_MG_5213.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-V3NXh4LQFcI/VfMYKjOzTtI/AAAAAAAC-9E/NPLO1xXAxGE/s640/_MG_5242.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania