Lowassa: Nimejiandaa kuwaongoza Watanzania
Mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa amesema amejiandaa na yupo tayari kuwaongoza Watanzania akiwa rais wa awamu ya tano.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo12 Aug
Lowassa ni mbinafsi “Watanzania mnatakiwa kufahamu kuwa mnapokutana na Lowassa, Ninyi sio kitu bali kitu ni Lowassa,”

HAMFREY POLEPOLE AMGALAGAZA VIBAYA MCHUNGAJI MSIGWA KWENYE MDAHARO

11 years ago
Dewji Blog07 Apr
Ridhiwani Kikwete awashukuru Wanachalinze kwa kumpa ridhaa ya kuwaongoza
Mbunge mteule wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akisalimiana na mjumbe wa kamati kuu ya CCM Mh. Jerry Silaa wakati wa mkutano wake wa kuwashukuru wananchi wa Chalinze kwa kumchagua kuwa mbunge wao uliofanyika katika Uwanja vya Miembe saba, Tume ya taifa ya Uchaguzi imemtangaza Mh.Ridiwani Kikwete kuwa mshindi katika uchaguzi uliofanyika juzi Aprili 6.(PICHA NA FULLSHANGWEBLOG).
Mke wa mbunge mteule wa jimbo la Chalinze Bi. Arafa Ridhiwani akiwasalimia mamia ya wananchi katika...
11 years ago
CloudsFM16 Jul
PINDA KUWAONGOZA WANA IRINGA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA CHIFU MKWAWA.
WAZIRI Mkuu Mizengo Kayanza Pinda anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho ya kumbukumbu ya kifo cha Chifu Mkwawa yatakayofanyika katika kijiji cha Kalenga, Iringa Vijijini Julai 19, mwaka huu.
Siku moja kabla ya kilele cha maadhimisho hayo (Julai 18), kutakuwepo na kongamano la wazi litakalofanyika katika Chuo Kikuu cha Mkwawa litakalo jadili mada mbalimbali zitakazolenga kumkumbuka Chifu Mkwawa na utalii.
Mkoa wa Iringa kwa kushirikiana na kamati yake ya utalii ya mkoa...
10 years ago
StarTV03 Sep
Lowassa kuhakikisha madini yanawanufaisha watanzania
Mgombea Urais kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA Edward Lowasaa amesema endapo wakazi wa mkoa wa Ruvuma watampa ridhaa ya kuingoza Tanzania atahakisha madini yaliyoko nchini yanawanufaisha Watanzania kwa kupata ajira.
Katika viwanja vya Matarawe mkoani Ruvuma, Lowassa amesema wawekezaji watatakiwa kujipanga upya kwa kuwa sekta ya madini itapaswa iwe ndiyo mkombozi kwa vijana kwa kuwapa ajira.
Mheshimiwa Edward Lowasa akihutubia katika viwanja vya Matarawe mkoani Ruvuma amesema...
10 years ago
Raia Mwema30 Sep
Ugomvi wa Lowassa na Kikwete wawapumbaza Watanzania
NIANZE makala haya kwa kusahihisha eneo moja dogo katika makala yangu ya wiki iliyopita iliyokuwa
Mwandishi Wetu
10 years ago
Habarileo16 Jun
Acheni kukaa vijiweni, Lowassa aasa Watanzania
WATANZANIA wameshauriwa kufanya kazi kwa bidii ili kujiletea maendeleo badala ya kukaa vijiweni na kuwajadili watu, jambo ambalo haliwezi kuwapa tija yoyote.
5 years ago
Michuzi
WANA CCM,WANANCHI WAJITAFAKARI KUMCHAGUA KIONGOZI ATAKAYEWAFAA KUWAONGOZA KIPINDI KIJACHO-BALOZI SEIF ALI IDDI
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema wakati muda wa kuelekea katika uchaguzi Mkuu unakaribia Wana CCM na Wananchi wana fursa nzuri ya kutafakari Kiongozi atakayefaa kuwaongoza katika kipindi kijacho cha Miaka Mitano.
Alisema Viongozi wanaofaa kushika hatamu ya kuwaongoza vyema ni wale wenye uwezo kamili wa kutekeleza Ilani ya Uchaguzi ya CCM inayokwenda kisasa katika mazingira ya Karne ya sasa ya Sayansi na Teknolojia Ulimwenguni.
Balozi Seif Ali Iddi alitoa Kauli...
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Vijimambo
LOWASSA AWATAKA WATANZANIA KUCHANGAMKIA FURSA ZA AJIRA ZITOLEWAZO NA AFRIKA MASHARIKI
Kauli hiyo ilitolewa jana na mgombea wa Urais kupitia Chadema, Edward Lowassa alipokuwa kwenye kampeni zake zilizofanyika katika uwanja wa Shule ya Msingi Namanga.
Lowassa alisema iwapo atachaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, atahakikisha kuwa watanzania wanachangamkia fursa za Afrika Mashariki kama ilivyo kwa Kenya.
"Napenda mahusiano ya Afrika...