Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ugomvi wa Lowassa na Kikwete wawapumbaza Watanzania

NIANZE makala haya kwa kusahihisha eneo moja dogo katika makala yangu ya wiki iliyopita iliyokuwa

Mwandishi Wetu

Raia Mwema

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Lowassa ni mbinafsi “Watanzania mnatakiwa kufahamu kuwa mnapokutana na Lowassa, Ninyi sio kitu bali kitu ni Lowassa,”


HAMFREY POLEPOLE AMGALAGAZA VIBAYA MCHUNGAJI MSIGWA KWENYE MDAHARO Hamfrey Polepole na Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa wamekabana kwa hoja kali kuhusu uamuzi wa Chadema na Ukawa kwa ujumla kumpokea Edward Lowassa na kumpa nafasi ya kugombea Urais.Polepole na Msigwa walikutana jana katika kipindi cha ‘Mada Moto’ kinachorushwa na kituo cha runinga cha Chanel Ten kujadili mada iliyotajwa kama ‘Lowassa Ndani ya CCM’.Polepole alionesha msimamo wake wa kumkataa Edward Lowassa kuwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa: Nimejiandaa kuwaongoza Watanzania

Mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa amesema amejiandaa na yupo tayari kuwaongoza Watanzania akiwa rais wa awamu ya tano.

 

10 years ago

StarTV

Lowassa kuhakikisha madini yanawanufaisha watanzania

 

Mgombea Urais kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA Edward Lowasaa amesema endapo wakazi wa mkoa wa Ruvuma watampa ridhaa ya kuingoza Tanzania atahakisha madini yaliyoko nchini yanawanufaisha Watanzania kwa kupata ajira.

Katika viwanja vya Matarawe mkoani Ruvuma, Lowassa amesema wawekezaji watatakiwa kujipanga upya kwa kuwa sekta ya madini itapaswa iwe ndiyo mkombozi kwa vijana kwa kuwapa ajira.

 

Mheshimiwa Edward Lowasa akihutubia katika viwanja vya Matarawe mkoani Ruvuma amesema...

 

10 years ago

Habarileo

Acheni kukaa vijiweni, Lowassa aasa Watanzania

Waziri Mkuu mstaafu, Edward LowassaWATANZANIA wameshauriwa kufanya kazi kwa bidii ili kujiletea maendeleo badala ya kukaa vijiweni na kuwajadili watu, jambo ambalo haliwezi kuwapa tija yoyote.

 

10 years ago

Vijimambo

LOWASSA AWATAKA WATANZANIA KUCHANGAMKIA FURSA ZA AJIRA ZITOLEWAZO NA AFRIKA MASHARIKI

WATANZANIA wametakiwa kujifunza kuchangamkia fursa za ajira zinazotolewa na Afrika Mashariki kama ilivyo kwa nchi nyingine.
Kauli hiyo ilitolewa jana na mgombea wa Urais kupitia Chadema, Edward Lowassa alipokuwa kwenye kampeni zake zilizofanyika katika uwanja wa Shule ya Msingi Namanga.
Lowassa alisema iwapo atachaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, atahakikisha kuwa watanzania wanachangamkia fursa za Afrika Mashariki kama ilivyo kwa Kenya.
"Napenda mahusiano ya Afrika...

 

11 years ago

Habarileo

Kikwete-Hatuzuii Watanzania kuchimba gesi

RAIS Jakaya Kikwete amesema Serikali haina mpango na kamwe haiwezi kuzuia kampuni ya kitanzania au Mtanzania kushiriki utafiti na uchimbaji mafuta na gesi ingawa ni gharama. Pia Rais Kikwete amebainisha kuwa Serikali imeweka utaratibu wa kuhakikisha Watanzania bila kujali maeneo na wa kizazi cha sasa na kijacho, wananufaika na rasilimali zote asilia za nchi, kwa kuhakikisha mapato yanayopatikana kutokana na rasilimali hizo yanafikia Watanzania wote.

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete ahimiza Watanzania kujiandikisha BVR

Rais Jakaya Kikwete akijiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapigakura kwa kutumia mfumo mpya wa kielektroniki (Biometric Voters Register -BVR) katika kijiji cha Msoga, wilayani Bagamoyo mkoani Pwani jana. Kulia ni mwandikishaji msaidizi, Happyness Misana, Ofisa TEHAMA kutoka Ofisi ya Tume ya Taifa Uchaguzi (NEC), Mariam Rajabu (katikati) na Mbunge wa Chalinze, Ridhwani Kikwete (kushoto mwenye baraghashia). (Picha na Freddy Maro).RAIS Jakaya Kikwete amewataka Watanzania kujiandikisha, vinginevyo wasije kushangaa watakapochaguliwa viongozi wasiofaa.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Kikwete ‘ampiga’ kijembe Lowassa

KATIKA hali ambayo ni nadra kujitokea, Rais Jakaya Kikwete, amewataka viongozi wa dini nchini ‘kulima mraba’ wao vizuri ili kulisaidia taifa, ikiwa ni pamoja na kutowapa nafasi viongozi wa siasa kutumia majukwaa ya dini kuendeleza maslahi yao ya kisiasa, na  hasa kupandikiza chuki katika jamii.

Kikwete ambaye katika hotuba yake hiyo hakutaja jina la mtu yeyote, lakini kauli yake hiyo inaweza kuhusishwa na Waziri Mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya kampuni tata ya kufua umeme ya Richmond,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani