Kikwete-Hatuzuii Watanzania kuchimba gesi
RAIS Jakaya Kikwete amesema Serikali haina mpango na kamwe haiwezi kuzuia kampuni ya kitanzania au Mtanzania kushiriki utafiti na uchimbaji mafuta na gesi ingawa ni gharama. Pia Rais Kikwete amebainisha kuwa Serikali imeweka utaratibu wa kuhakikisha Watanzania bila kujali maeneo na wa kizazi cha sasa na kijacho, wananufaika na rasilimali zote asilia za nchi, kwa kuhakikisha mapato yanayopatikana kutokana na rasilimali hizo yanafikia Watanzania wote.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima22 Jan
Kitima: Tunaweza kuchimba gesi
WATANZANIA wametakiwa kuondokana na dhana potofu, kwamba hawana uwezo wa kuvuna gesi kutokana na kukosa mtaji na teknolojia. Kauli hiyo ilitolewa jana na Makamu mstaafu wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu...
11 years ago
Tanzania Daima16 Feb
Watanzania wahimizwa kupikia gesi
KAMPUNI kongwe ya huduma za umeme wa jua (solar) nchini, Katomu Investment Limited, imewahimiza Watanzania kupikia gesi majumbani mwao ili kuepuka gharama kubwa za kuni, mkaa na kuangamiza misitu. Akizungumza...
11 years ago
Tanzania Daima22 Jul
‘Watanzania wajiandae uchumi wa gesi’
WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amewataka Watanzania kujiandaa na uchumi wa gesi kwani mradi huo utakapokamilika utaleta mageuzi makubwa nchini. Kauli hiyo aliitoa mwishoni mwa wiki mkoani...
11 years ago
Habarileo25 Jun
'Watanzania jiandaeni uchumi wa gesi'
WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, aliwataka Watanzania kujiandaa na uchumi wa gesi, kwa kuwa ndio utakaotoa ajira mpya nyingi na za uhakika.
11 years ago
Habarileo17 Jul
Watanzania kujifunza gesi, mafuta Canada
SERIKALI ya Tanzania inatarajia kutuma wataalamu kwenda Canada katika Kamisheni ya Mafuta na Gesi ya jimbo la British Columbia (BC Oil& Gas Commission), kujifunza udhibiti wa mafuta na gesi.
11 years ago
Mwananchi04 Jul
MAFUTA NA GESI: 'Watanzania wanaweza kuwekeza'
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-FuyxV5Eh4jI/VT6gjrmldtI/AAAAAAAC3rg/E-Zyq7h5BoQ/s72-c/Dr%2BAbel%2BKinyondo%2B%26%2BInvited%2BExpert%2BInnocent%2BBash%2Bfrom%2BTEITI%2Baddressing%2Bthe%2Bmedia%2B.jpg)
Watanzania kunufaika zaidi na Gesi Asilia
KUTOKANA na kugundulika kwa hazina kubwa ya gesi nchini ambayo inategemewa kukuza pato la taifa zaidi ya mara 15 ya sasa, kiasi cha kuiwezesha Tanzania kuwa miongoni mwa nchi zenye uchumi wa kati kufikia mwaka 2025.
Hata hivyo, dhana ya kwamba Rais ajaye baada ya uongozi wa Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete kumaliza muda wake, anaweza akaikuta Tanzania ikiwa ni nchi tajiri tayari kutokana na rasilimali...
11 years ago
Tanzania Daima21 Jan
Watanzania wanaumia bei ya gesi ya majumbani
MWAKA 2014 hali ya maisha kwa Watanzania wa kawaida imezidi kuwa ngumu kutokana na kila kitu kupanda bei. Mambo yaliyonishtua na kusababisha niandike mtazamo huu ni kutokana na bei ya...
11 years ago
Mwananchi26 Dec
Watanzania wakiwezeshwa sekta ya gesi wanaweza