Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lowassa: Wingi wa wagombea CCM haunitishi

lowassNa Elias Msuya
WAZIRI Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, amesema wingi wa makada wa CCM wanaojitokeza kuchukua fomu za kugombea urais haumbabaishi, kwa kuwa ndio mchakato wa demokrasia.

Hadi sasa kuna makada 31 waliochukua fomu za kugombea urais, akiwamo Lowassa mwenyewe.

Akizungumza katika mkutano wa kuwashukuru wana CCM waliomdhamini wilayani Nzega jana, Lowassa alikitaka chama chake kutenda haki ili kupata mgombea bora.
“Kumekuwa na wagombea wengi waliojitokeza kugombea. Huu ni mchezo wa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

CCM haitishwi na wingi wa wagombea

CHAMA Cha Mapinduzi Zanzibar kimesema hakitishwi wala kubabaishwa na wingi wa wagombea wa vyama vya siasa wanaojitokeza kuchukua fomu za urais wa Zanzibar kwani hiyo ndiyo demokrasia ya mfumo wa vyama vingi.

 

10 years ago

Vijimambo

AKATI WAGOMBEA WENGINE NDANI YA CCM WANA MLALAMIKIA LOWASSA HEBU TUJIULIZE HAYA MASWALI....

January Makamba amechapisha vitabu vyakena kugawa kwa wajumbe wote wa mkutanomkuu, mbona Lowassa hakulalamika?January Makamba alinunua Simu za GallaxySumsang zaidi ya 140 akazigawa kwa wajumbewa baraza UVCCM ZANZIBAR.January 2013 alipokusanya marais wa vyuovikuu Tanzania nzima Mt. Uluguru Hotel nakuwalipa laki moja na nusu kila moja ili watoetamko kuwa anafaa kuwa rais, mbona Lowassahakulalamika?Membe amekuwa akipendelea Wafuasi wakekwenda kusimamia chaguzi Kama waangaliziwa Sadc, mbona...

 

11 years ago

Tanzania Daima

BUNGE LA UKIRITIMBA… Wingi wa CCM unameza maamuzi

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa mujibu wa uwiano na mizania yake, limesheheni wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa jinsi ya kuathiri maamuzi yake. Wingi wa wabunge...

 

9 years ago

Raia Mwema

‘Wagombea’ wa Lowassa taabani

ZIKIWA zimesalia siku tatu kabla ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu Oktoba 25 mwaka huu, wagombea w

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

Michuzi

LOWASSA AZIDI KUHAMASIKA JUU YA KUTANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS, AWAHIMIZA WANANCHI KUJIANDIKISHA KWA WINGI DAFTARI LA WAPIGA KURA

Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akiwasalimia mamia ya wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu mkoa wa Dodoma, waendesha boda boda na wamachinga wa mkoa huo walioandamana hii leo hadi nyumbani kwake Area D mjini Dodoma kumuomba pindi wakati ukifika kwa mujibu wa taratibu za chama cha Mapinduzi (CCM) asisite kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Urais. 
Lowassa amesema anazidi kuhamasika kufuatia maombi ya watu wa makundi mbalimbali ya jamii wanao muomba kugombea urais mwaka...

 

5 years ago

Michuzi

WANA CCM MANYONI WAJITOKEZA KWA WINGI KUMDHAMINI RAIS DKT MAGUFULI

Baadhi ya Wanachama wa CCM wilayani Manyoni wakijaza fomu ya kumdhamini Mwenyekiti wa CCM Taifa Mh. John Pombe Magufuli, katika kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi wa Oktoba 2020.Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Manyoni Mkoani Singida Ndg. Jumanne Ismail Makhanda akizungumza na baadhi ya Wanachama wa CCM wilayani Manyoni waliojitokeza...

 

10 years ago

Vijimambo

VIJANA CCM WAJITOKEZA KWA WINGI KUCHUKUA FOMU ZA UBUNGE JIMBO LA MOSHI MJINI

Mtia nia wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Moshi mjini,Priscus Tarimo,akikabidhiwa fomu ya nafasi hiyo na katibu wa CCM manispaa ya Moshi,Loth Ole Nesele katika ofis za chama hicho za Wilaya ya Moshi mjini.Mtia nia ya kugombea Ubunge jimbo la Moshi mjini,Priscus Tarimo,akitoa maelezo yake kwa Katibu Msaidizi wa CCM wilaya ya Moshi mjini Donatha Mushi alipofika kwa ajili ya zoezi la uchukuaji wa fomu.
Priscus Tarimo akizungumza na na wanahabari( hawako pichani) muda mfupi baada ya kumaliza...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mdahalo wa wagombea Urais Tanzania wafanyika, Magufuli, Lowassa washindwa kuhudhuria

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Anna Nghwira (kulia), na Mgombea nafasi hiyo kupitia Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Chifu Litayosa Yemba wakijibu maswali mbalimbali katika mdahalo wa wagombea urais ulioandaliwa na Taasisi ya Twaweza Dar es Salaam leo. Hata hivyo wagembea nafasi hiyo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk.John Magufuli na Edward Lowassa kupitia Chadema hawakuweza kuhudhuria kwa sababu mbalimbali.  Waongozaji wa mdahalo huo wakiwa...

 

9 years ago

Michuzi

NEC YAWATHIBITISHA LOWASSA NA DUNI KUWA WAGOMBEA WA CHADEMA KUPITIA UKAWA

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva akimkabidhi, Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, nyaraka mbalimbali zitakazotumika wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu, kwenye Ofisi za Tume hiyo, Jijini Dar es salaam leo Agosti 21, 2015. Kushoto ni Mgombea Mweza wake, Dkt. Juma Haji Duni.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva akizungumza mara baada ya kupokea Fomu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani