Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BUNGE LA UKIRITIMBA… Wingi wa CCM unameza maamuzi

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa mujibu wa uwiano na mizania yake, limesheheni wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa jinsi ya kuathiri maamuzi yake. Wingi wa wabunge...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Wingi wa vijana Bunge la 11 wagusa hisia

UWAPO wa wabunge wengi vijana katika Bunge la 11 umetajwa kuwa jambo jema kwa nchi ingawa imetolewa angalizo kuhakikisha wingi wao, hauwi sababu ya kugeuza chombo hicho kuwa kijiwe na uwanja wa vijembe.

 

10 years ago

Habarileo

Kesi ya IPTL kupinga maamuzi ya Bunge yakwama

Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila.MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeshindwa kuendelea kusikiliza kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na Kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) na kampuni nyingine mbili.

 

10 years ago

Vijimambo

BUNGE MAALUM LA KATIBA:Maamuzi magumu leo

  Kura kupigwa hadi Alhamisi
  Sheria ya mpito kupitishwa IjumaaHatimaye Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba (BMK) leo wanaanza kufanya maamuzi magumu kwa kupiga kura yenye lengo la kupitisha rasimu ya Katiba inayopendekezwa huku kukiwa na taarifa kuwa huenda masuala kadhaa likiwamo theluthi mbili yakaikwamisha.

Hatua ya upigaji kura itakayohitimishwa Alhamisi wiki hii na Ijumaa kutunga sheria ya kipindi cha mpito kabla ya katiba kuanza kutumika, inafikiwa baada ya Bunge hilo kutumia zaidi ya...

 

10 years ago

Habarileo

Kesi ya IPTL, PAP kupinga maamuzi ya Bunge leo

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es SalaamMAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imepanga leo kuanza kusikiliza kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na Kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) na kampuni nyingine mbili, kupinga utelekezaji wa maazimio ya Bunge kuhusu sakata la akaunti ya Tegeta Escrow.

 

10 years ago

KwanzaJamii

MAAMUZI MAGUMU BUNGE LA KATIBA, KURA KUPIGWA HADI ALHAMISI

Na Emmanuel Lengwa Hatimaye Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba (BMK) leo wanaanza kufanya maamuzi magumu kwa kupiga kura yenye lengo la kupitisha rasimu ya Katiba inayopendekezwa huku kukiwa na taarifa kuwa huenda masuala kadhaa likiwamo theluthi mbili yakaikwamisha. Hatua ya upigaji kura itakayohitimishwa Alhamisi wiki hii na Ijumaa kutunga sheria ya kipindi cha mpito kabla ya katiba kuanza kutumika, inafikiwa baada ya Bunge hilo kutumia zaidi ya siku 130 mjini Dodoma wakitunga...

 

9 years ago

Habarileo

CCM haitishwi na wingi wa wagombea

CHAMA Cha Mapinduzi Zanzibar kimesema hakitishwi wala kubabaishwa na wingi wa wagombea wa vyama vya siasa wanaojitokeza kuchukua fomu za urais wa Zanzibar kwani hiyo ndiyo demokrasia ya mfumo wa vyama vingi.

 

10 years ago

Mtanzania

Lowassa: Wingi wa wagombea CCM haunitishi

lowassNa Elias Msuya
WAZIRI Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, amesema wingi wa makada wa CCM wanaojitokeza kuchukua fomu za kugombea urais haumbabaishi, kwa kuwa ndio mchakato wa demokrasia.

Hadi sasa kuna makada 31 waliochukua fomu za kugombea urais, akiwamo Lowassa mwenyewe.

Akizungumza katika mkutano wa kuwashukuru wana CCM waliomdhamini wilayani Nzega jana, Lowassa alikitaka chama chake kutenda haki ili kupata mgombea bora.
“Kumekuwa na wagombea wengi waliojitokeza kugombea. Huu ni mchezo wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani