‘BABY SHOWER’ YA MTOTO WA KIM KARDASHIAN YAFANA!
![](http://api.ning.com:80/files/4bIsJDjFjL6mMEhQGbGmAElstuN6ZaDrqwE40vFMglaSCq3bAXoU7vRyT8W7YiftoKi-LSTxQZwScZ8BbDjFwluyYfj*1Ux1/kimk.jpg?width=600)
Mwanamitindo maarufu, Kim Kardashian. New York,Marekani MWANAMITINDO maarufu, Kim Kardashian kwa kushirikiana na ndugu zake Khloe, Kourtney, Kendall na Kylie hivi karibuni aliangusha bonge la sherehe ‘baby shower’ ya mwanaye wa kiume anayetarajia kumpata. ....Akiwa na ndugu zake. Hafla hiyo ilifanyikia katika Ukumbi wa Friend’s Beverly Hills Estate huko New York, Marekani ambapo baada ya hapo ndugu zake wote walitupia...
GPL
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania