Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIM KARDASHIAN AFICHUA NI MJAMZITO, KUZAA MTOTO WA PILI

Mmwanamitindo wa Marekani, Kim Kardashian akiwa na mumewe mwanamuziki, Kanye West. Kim Kardashian akifanyiwa vipimo hospitalini jana, ambapo alionekana kuwa mjamzito.  Aliyesimama kushoto ni mama yake, Kris Jenner.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Kim Kardashian anatarajia kujifungua mtoto wake wa pili siku ya Christmas

Rapper Kanye West na mkewe Kim Kardashian ambaye ni mjamzito wanatarajia kumpokea mdogo wake na North siku ya Christmas, ambapo Kim ndio anatarajia kujifungua. Kwa mujibu wa TMZ, Kim K anatarajia kujifungua mtoto wake wa pili Dec. 25. Vyanzo vya karibu vimedia kuwa couple hiyo tayari ime ‘book’ Deluxe Maternity Suite kwenye hospitali ya Cedars-Sinai […]

 

10 years ago

BBCSwahili

Kim kardashian ni mjamzito

Nyota wa kipindi cha runinga nchini Marekani ambaye ameolewa na msanii Kanye West amefichua katika kipindi cha keeping up with the Kardashian kwamba ni mjamzito.

 

9 years ago

Bongo5

Nachukia sana kuwa mjamzito — Kim Kardashian

Mke wa rapper Kanye West, Kim Kardashian ameandika kwenye website yake jinsi anavyochukia kuwa mjamzito, licha ya kuwa sasa ni mjamzito na anategemea kujifungua December 25. Katika post hiyo, Kim K (34) aliandika kuwa anashangaa watu ambao huwa wana enjoy hali ya ujauzito akiwemo mama yake na dada yake Kourtney, kitu ambacho kwake ni tofauti. […]

 

10 years ago

Bongo5

Kim Kardashian akanusha tetesi za kuwa mjamzito, asifia wimbo mpya wa Kanye

Kim Kardashian ameuanza mwaka mpya kwa kusafisha tetesi zilizosambaa mtandaoni mwishoni mwa 2014 kuwa huenda akawa na ujauzito wa mdogo wake North. Kupitia Twitter Kim K aliandika: “Ngoja tusafishe baadhi ya tetesi kabla ya mwaka mpya …. Nimechoka kuona mtandaoni na kiukweli sijui wanayatoa wapi mambo haya!” aliendelea kwenye tweet nyingine, “hapana mimi sio mjamzito”, […]

 

10 years ago

BBCSwahili

Mtoto mpya amtesa Kim Kardashian

Ujauzito wampa mawazo mwanamke mrembo Kim West Kardashian,na ikiwa atapata ujauzito mwingine afya yake iko mashakani.

 

9 years ago

Bongo5

Kim Kardashian ashauriwa na madaktari asizae mtoto wa tatu!

1420671242_kanye-west-kim-kardashian-zoom

Kuna uwezekano Kanye West na Kim Kardashian wasipate mtoto mwingine wa tatu kutokana na madaktari kumshauri Kim asibebe ujauzito mwingine.

1420671242_kanye-west-kim-kardashian-zoom

Kwa mujibu wa TMZ, madaktari wamemshauri Kim K kutoongeza mtoto mwingine tena kutokana na kupata tatizo linalofahamika kwa kitaalam kama ‘placenta accreta’.

Ushauri huo umetolewa baada kupata matatizo wakati wa kujifungua watoto wake wawili North na Saint. Wamesema akipata ujauzito mwingine kwa sasa ni kuhatarisha maisha yake pamoja na mtoto.

Chanzo cha...

 

9 years ago

Bongo5

Kanye West na Kim Kardashian wapata mtoto wa kiume

kim na kanye

Hatimaye mke wa rapa Kanye West, Kim Kardashian amejifungua mtoto wao wa pili, wa kiume siku ya Jumamosi Asubuhi (Dec .5).

kim na kanye

Kim aliandika taarifa ya kujifungua kupitia website yake. “Kim Kardashian West and Kanye West welcomed the arrival of their son this morning. Mother and son are doing well,” ulisomeka ujumbe huo.

He's here! https://t.co/KlWQrG3Ri9 pic.twitter.com/NRLQCeQ5H4

— Kim Kardashian West (@KimKardashian) December 5, 2015

Mpaka sasa Kim na Kanye bado hawajasema jina la mtoto...

 

9 years ago

GPL

‘BABY SHOWER’ YA MTOTO WA KIM KARDASHIAN YAFANA!

Mwanamitindo maarufu, Kim Kardashian. New York,Marekani
MWANAMITINDO maarufu, Kim Kardashian kwa kushirikiana na ndugu zake Khloe, Kourtney, Kendall na Kylie hivi karibuni aliangusha bonge la sherehe ‘baby shower’ ya mwanaye wa kiume anayetarajia kumpata. ....Akiwa na ndugu zake. Hafla hiyo ilifanyikia katika Ukumbi wa Friend’s Beverly Hills Estate huko New York, Marekani ambapo baada ya hapo ndugu zake wote walitupia...

 

9 years ago

Bongo5

Kanye West na Kim Kardashian watoa jina la mtoto wao wa kiume

kanye and kim

Baada ya ubashiri wa watu wengi juu ya jina atakalopewa mtoto wa pili wa mastaa Kanye West na mkewe Kim Kardashian West, hatimaye wazazi wake wametoa jina.

kanye and kim

Mtoto wao wa kiume aliyezaliwa siku ya Jumamosi asubuhi wamemuita ‘SAINT WEST’, unalionaje?

Kim K ameshare na ulimwengu jina la baby brother wa North West kupitia website yake kwa kuandika, “To our fans. Saint West. 12.05.15. 8 pounds, 1 ounce.” Na kwenye page yake ya Instagram alipost emoji za watu wanne, baba, mama, na watoto wawili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani