Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘MZEE MANENTO ALIKIONA KIFO’

Stori: Gladness Mallya
KIFO hakina huruma! Wakati mwili wa aliyekuwa staa mkongwe wa sinema za Kibongo, David Manento ‘Mzee Manento’ (73) ukiagwa nyumbani kwake, Kigogo, Dar, wikiendi iliyopita na kusafirishwa kwenda mkoani Kilimanjaro kwa mazishi, mwanaye, Godfrey David Manento amesema ni kama mzee huyo alikiona kifo chake. Picha tofauti zikionesha aliyekuwa staa mkongwe wa sinema za Kibongo, David Manento...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MBOTO: SAGUDA ALIKIONA KIFO CHA RECHO

Stori: Shakoor Jongo KOMEDIAN mahiri Bongo, Haji Salum ‘Mboto’ amefunguka kuwa Saguda alikijua kifo cha mpenzi wake, Sheila Haule ‘Recho’ kutokana na kauli zake alizokuwa akimwambia pindi alipokuwa akimuomba acheze filamu na mkewe kisha akafariki kabla haijatoka. Saguda akiwa na siamanzi baada ya kuondokewa na mkewe Recho Haule. Akizungumza katika mahojiano maalum aliyofanya na paparazi wa Global TV...

 

10 years ago

GPL

MANENO YA MWISHO YA AISHA MADINDA ALIKIONA KIFO CHAKE

Stori: Gladness Mallya
SIKU chache kabla ya kupatwa na umauti, mnenguaji mkongwe Bongo, Mwanaisha Mbegu ‘Aisha Madinda’ alifunguka maneno ambayo yalionesha dhahiri kama alikiona kifo chake. Kwenye mazungumzo hayo aliyozungumza na mwanahabari wetu, Aisha alisema atatoa habari nzito ambazo zitaripotiwa na magazeti matatu na kudai ni ‘sapraiz’. Mnenguaji mkongwe Bongo, Mwanaisha Mbegu ‘Aisha...

 

10 years ago

CloudsFM

MSANII MZEE MANENTO AFARIKI DUNIA

MSANII wa filamu za Kibongo, Mzee Manento amefariki dunia jana jioni kiwa jijini Dar es Salaam baada ya kuugua kwa muda mrefu ugonjwa wa moyo.
Mzee Manento atakumbukwa katika filamu alizocheza kama 'Hero of the Church', 'Dar to Lagos', 'Fake Pastor' na nyinginezo.

 

10 years ago

GPL

TANZIA: MUIGIZAJI MZEE MANENTO AMEFARIKI DUNIA

Msanii wa filamu, Mzee Manento amefariki dunia hapo jana. Bado tunafuatilia kwa karibu kujua chanzo cha kifo cha mzee wetu huyu. Baadhi ya filamu alizocheza Mzee Mnento ni Hero of the church, Dar to lagos, Fake pastor n.k Mungu ailaze Roho ya maerehemu mahali pema peponi amina.

 

10 years ago

Bongo Movies

MSIBA : Muigizaji Mzee Manento amefariki dunia.

Habari zilizotufukia hivi punde zinasema kuwa muigizaji Mzee Manento amefariki dunia hapo jana. Bado tunafuatilia kwa karibu habari hizi nz chanzo ch kifo cha mzee wetu huyu.

Mzee Mnento atakumbukwa hasa kwa filamu alizocheza kiumakin na marehemu Kanumba. Hero of the church, Dar to lagos,fake pastor n.k pumzika kwa Amani

Mungu ailaze Roho ya maerehemu mahali pema peponi amina. 

 

10 years ago

Michuzi

TANZIA:MUIGIZAJI WA FILAMU NCHINI MZEE MANENTO AFARIKI DUNIA.

Taarifa zilizotufikia katika chumba cha habari ya Globu ya Jamii zinaeleza kuwa Msanii wa filamu, Mzee Manento amefariki dunia hapo jana. Globu ya Jamii bado inafuatilia kwa karibu kujua chanzo cha kifo cha Muigizaji huyu mahiri wa filamu hapa nchini.Baadhi ya filamu alizowahi kuigiza Mzee Mnento ni Hero of the church, Dar to Lagos, Fake pastor n.k Mungu ailaze Roho ya maerehemu mahali pema peponi amina.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mzee Small amlaani aliyemzushia kifo

NGULI wa filamu na maigizo nchini, Saidi Ngamba ‘Mzee Small’ amemlaani mtu aliyesambaza taarifa za uongo kwamba amefariki juzi usiku. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mzee Small alisema, alipata...

 

11 years ago

GPL

MZEE SMALL SIKU 790 ZA KIFO

Maehemu Mzee Small akiwa hospitali enzi za uhai wake. Stori: MWANDISHI WETU Msiba tena! Ukweli ni kwamba gwiji wa maigizo na vichekesho Bongo, Said Ngamba ‘Mzee Small’ ameandamwa na roho wa kifo kwa siku 790 hadi alipokutwa na umauti usiku wa kuamkia jana, Ijumaa Wikienda lilikuwa naye bega kwa bega.…

 

9 years ago

Michuzi

KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MZEE MANG'ANYA

ITS now 5 yrs Since You left Us On 02/09/2010.Thursday 15:45 Pm!!!!!!
We thought of you with love today,But that is nothing new.We thought about you yesterday.And days before that too.We think of you in silence.We often speak your name.Now all we have is memories.And your picture in a frame.Your memory is our keepsake.With which we'll never part.God has you in his keeping.We have you in our heart.We as family will remember all you taught usWe are hurt but we won't be sadBecause he'll send us...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani