LUGE MUTAHABA FEKI AKAMATWA AKIWATAPELI WATU MBALIMBALI SOMA HAPA
Huyu kijana amekamatwa leo Clouds, kwa kosa la kutapeli watu mbalimbali kwa kutumia majina ya wafanyakazi wa Clouds akiwemo Ruge Mutahaba na kujifanya yeye ndio kiongozi wa idara ya muziki ya Clouds fm na kuwatapeli wasanii chipukizi kwa kuomba rushwa ya hela ili nyimbo zao zichezwe redioni-Credit Musike Corner Blog
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-wSbg2UO_RxI/Ve_t1Q5pk3I/AAAAAAAAIjs/iLsi4o3hATM/s72-c/mrema%252Bleo.jpg)
UMESIKIA HII KAULI YA MREMA BAADA YA KUKOSA WATU KWENYE KAMPENI ZAKE? SOMA HAPA
![](http://3.bp.blogspot.com/-wSbg2UO_RxI/Ve_t1Q5pk3I/AAAAAAAAIjs/iLsi4o3hATM/s1600/mrema%252Bleo.jpg)
Mwenyekiti Taifa wa chama cha Tanzania Labour Party TLP, na mgombea Ubunge jimbo la Vunjo Augustino Mrema, amelalamikia kuwa anafanyiwa siasa chafu na wapinzani wake.Akizungumza na waandishi wa habari jimboni Vunjo, Mrema amepeleka lawama moja kwa moja kwa viongozi wa chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA, kwa kumchafua kwa matusi kwenye kampeni pamoja na kufanyiwa ubaguzi.“Siwalaumu wanachama wa CHADEMA, viongozi wao ndio wenye fujo na mimi, sasa najiuliza tatizo ni nini uzee wangu?...
10 years ago
Habarileo05 Jan
Akamatwa na mil.400/-feki
JESHI la Polisi mkoani hapa linamshikilia mkazi wa Buzuruga jijini hapa, Zakaria Matiku Werema (35) baada ya kukamatwa akiwa na fedha bandia za Tanzania na za kigeni, ambazo kama zingekuwa halali zingekuwa na thamani ya zaidi ya Sh milioni 400.
10 years ago
BBCSwahili09 Dec
Daktari feki akamatwa Tanzania
10 years ago
Vijimambo24 Oct
Mgonjwa 'feki' akamatwa Uingereza
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/625/amz/worldservice/live/assets/images/2014/10/23/141023095019_mhalifu_ajidai_512x288_bbc_nocredit.jpg)
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/590/amz/worldservice/live/assets/images/2014/10/23/141023095720_mke_mhalifu_512x288_bbc_nocredit.jpg)
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/590/amz/worldservice/live/assets/images/2014/10/23/141023095919_night_anaswa_na_polisi_512x288_bbc_nocredit.jpg)
Mwanamume mmoja ameshtakiwa kwa kosa la kutumia udanganyifu na kujidai kuwa mgonjwa mahututi kwa miaka miwili nchini Uingereza ili kukwepa mkono wa sheria.
Mwanamume huyo kwa jina Alan Knight, mwenye umri wa miaka 47, kutoka mtaa wa Swansea,aliamua kujidai kuwa mgonjwa...
10 years ago
Habarileo14 Mar
Katibu feki wa Ikulu akamatwa
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, linamshikilia mkazi wa Mbagala Rangi Tatu, Haroub Mtopa (44) kwa kujifanya mtumishi wa umma kupitia cheo cha Katibu wa Rais, Jakaya Kikwete, Prosper Mbena.
11 years ago
Tanzania Daima12 Jul
Daktari feki akamatwa Moro
JESHI la Polisi mkoani Morogoro, linamshikilia Karume Kanzu (22), kwa tuhuma za kujifanya daktari wa hospitali kuu mkoani hapa na kuhudumia wagonjwa. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo,...
11 years ago
Mwananchi12 Jul
Daktari feki akamatwa hospitali ya Morogoro
11 years ago
Habarileo05 Aug
Trafiki feki akamatwa Dar es Salaam
POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam inamshikilia na kumhoji Robson Mwakyusa (30), mkazi wa Kijitonyama kwa tuhuma za kujifanya Ofisa wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani.
11 years ago
GPLPOLISI FEKI USALAMA BARABARANI AKAMATWA MBAGALA DAR